Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Wabongo kwa majungu mna PHD! kila mzawa anayeanzisha biashara ya maana ni ya Rizwan; mkiona mijengo ya maana iliyojengwa na baba masogange mnasema ya Rizwan. mwacheni mtoto wa watu alaleeee

alale na nami wakati anatafuna nchi yetu isivyo hlali...
 
kweli ridhiwani yuko tofauti sana makongoro hivi kwa nini????? R.I.P MWL.NYERERE endelea ridhiwani kuponda pesa najua kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji ila jua SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.
kweli kabisa mkuu Rizone yuko tofauti sana na Makongoro
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

Subirini ule muswada uanze kufanya kazi ndio discipline ya kupost itapopatikana! Maana sasa kila mtu akisikia upuuzi tu anakimbilia kupost JF, ulete habari unayoweza kuithibitisha. Kama maswali kama hayo kamuulize mwenyewe....
 
Hii tabia ya kuanza kupekua nyuzi za kitambo sielewi maana yake!
 
mambo mengi ukisoma yanatia hasira sana na uchungu ilanawaza ningekua mtoto wa mfalme NISINGEKUA KAMA YEYE?????
jibu ni hapana ukweli tunahitaji viongozi wazalendo

kufichua maovu yao haitoshi,wataingia wengine madarakani alafu wataendeleza mchezo huo huo
UZALENDO NI JA,BO LA MSINGI KUANGAMIZA UFISADINA RUSHWA
 
_70428407_013376159.jpg


usijali.... hata huyu alikuwa mara kumi zaidi ya huyo Riz

Huyu ni nani? Na amefanywa nini vidole au ndo kakeketwa vidole kwa utamaduni wa magharibi?
 
Muweke wazi huyo mwenye ghorofa unaesema kachoka usickie maneno ya vijiweni acha kudanganya watu sio ile ziko 6 kama ile halafu sema.......
 
Back
Top Bottom