Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,508
Hivi huyu Ridhiwani Kikwete kila biashara kubwa Tanzania ni yake?.
Ukisoma mabandiko mengi kwenye mitandao utagundua anahusishwa na biashara zote nzuri na mbaya na zenye faida kubwa nchini.
Kuna mlolongo wa madai kuanzia kwenye madawa ya kulevya, usafirishaji wa mizigo na abiria (buses, trucks, plane, boat), mafuta, uanasheria, minerals, Fumigation, politics, n.k.
This is beyond belief kwa mtu mwenye upeo mkubwa katika uchambuzi na hasa ikichuliwa kuwa evidence ni moja ya kikamilisho katika madai.
Is this political placebo au ndiyo yale ya waswahili wasemao, 'lisemwalo lipo' kama halipo linakuja.