Ridhiwani kaenda Ukerewe?

Asije kuwa kaenda kulichukua hili jiwe....kule Ukara...its a legacy for us

 
Mkuu CAMARADERIE, hilo ndilo lile jiwe linaloitwa Nabulebeka?
Hebu tupia na picha ya ule mti ulioangushwa chini kwa misumeno na wapasua mbao, then kesho yake wakaukuta umesimama ilihali matawi yake ya juu yamekatwa na msumeno wao pale mti ulipokuwa chini.
Nasikia pia kuna mti kando ya Ziwa Vicky ambao majani yake yakipukutika yakidondoka na kugusa maji ya Ziwa kila jani linageuka Mamba.
Ukerewe usipime kwa ulozi!
 
Kwani dogo ana mke? Labda anatafuta mchumba ati!
 
Poor thread from Mzee Mwanakijiji.
Poleni sana watanzania wenzangu, mwanakijiji upo sahihi kabisa, mi nilipata habari hizi miezi michache iliyopita nikambishia alieniletea hizi habari.

Wajerumani nasikia walifukia mali ardhini na si unajua waliondolewa bila kutaka na waingereza kwa hiyo hawakupata fursa ya kubeba, sasa hivi wajanja wa mjini kama Riz1 wametonywa kwamba kuna "hidden treasury" ndio maana wanafukunyua.

Kuna sehemu ndogo amefanikiwa kuzipata according to yule aliyenipa habari hizi.
 
Hivi hii ndiyo nini?.

Hivi kumbe kuna watu hawatakiwi kuenda sehemu fulani nchini hata kama ni kwa 'waganga wa kienyeji'.

Watu wakibeba magazeti ya Shigongo mnawapiga madongo lakini inapokuja habari ya udaku hapa jf watu wanachangia kwa vile tu mleta habari ni 'fulani'.

I'm out
 
Kama mali iliachwa na mjeremani miaka hiyooo! Na wakerewe wanaidekeza tu, ngoja mzee wa kazi aishughulikie
 
Treasure hunting trip is normal, but this tendency off treasure hunting can be very dangerous if one is not careful
 

Duh kana ni kweli dogo atakuw ana kichaa, nahitaji nini tena katk life ?Hapo alipofikia alipaswa aachane na njia haramu zote.Kama privileges anazo, elimu anayo, sasa kama kila kitu anahemea nina mashaka na sana kama atadumu huku duniani.
 
thanks JF nw adays najifunza mengi toka kwa members and I believe "Tanzania inaangushwa na watanzania wachache na itakombolewa kwa mapambano ya wazalendo wachache "pamoja tutashinda
kiraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…