Ridhiwani kaenda Ukerewe?

Ntakuwa wa mwisho kuchangia, kwa sasa naficha.....!
 
Kwani kuna tatizo lolote Ridhiwani kwenda ukerewe? Wewe mbona upo Marekani.
 

Kisiwa cha UKara hakuna JENGO LOLOTE LA MJERUMANI.

Maajabu ya Ukara kuna JIWE LINALOCHEZA (A DANCING STONE). Hili jiwe liko katika ya maji ya ziwa Victoria. Ili licheze lazima kwanza litambikiwe na wa/mzee maarufu wa kimila. It is the only tourist attraction iliyopo Ukara. Labda na wale mamba (crocodiles) wala watu! (don't quote me for the latter statement).
 

Niliposikia dogo ameenda Ukerewe kwanza nilihisi vitu 2, cha kwanza ni labda UK, cause watu wa Mwanza ukisikia wanavyo iita Ukerewe huwa wanasema UK so i thought dogo ameenda Uingereza, wazo hilo likawa halipati sana kibali moyoni mwangu cause kwa Prince kwenda kwa malkia sio breaking news, kwake huko ni kama mimi ninavyo kuona Kariakoo au Posta, si tulisikia hata mtoto wa former PM alinunua nyumba city centre kabisa kwa paund 450,000/=, wazo lililopata sana kibali ni hapo kwenye RED, issue ni hii, dogo nae kaumia mguu/miguu? cause huko kuna masangoma wanatibu mifupa balaa, kwa matatizo mengine ya kisangoma, dogo kwao si Bagamoyo? Kwanini tena UK?
 

Nchi hii imejaa wana siasa vigagula? Maana Ukerewe kuna mawe yanacheza dansi kule,lol!
 
KWA KABILA LAKE! NA MAKUZI ALIYOKULIA, SISHANGAI HABARI ZA ULOZI!! NI DHAHAMA KWA TAIFA! KUABUDU miungu mingine!!
 
Mwanakijiji nafikiri hutendei haki uzi wako naona ni vema ukaweka hapa ulichokisikia tupate wachangiaji ili tupime kama kuna hoja au la la sivyo utabaki kuwa ni umbea na uchonganishi au mambo ya kuzaniwa zaniwa yasiyo na tija.
 
...kuna kijana aliniambia amewahi kwenda Kondoa pia, kuna mapango ambayo inasemekana kuna mali za Mjerumani...
 
Kwani kuna tatizo lolote Ridhiwani kwenda ukerewe? Wewe mbona upo Marekani.
Tena Ridhiwani mwenyewe ni kiongozi wa kitaifa wa CCM( MNEC). Au Ukerewe sio Tanzania?
 
Kweli huku ni kufirisika kwa hoja.

Sioni mantiki ya kuuliza suala hili kwani Ridhwani ana haki kamili ya utembelea popote anapotaka ndani na nje ya Tanzania ili mradi tu afuate taratibu zilizowekwa kisharia.

Pole sana
 
Mashehe wote na wachawi anaowatumia kumrogea sijui kumrogesha huko bagamoyo hawatoshi ama wamedunda? Sasa ukara laba kaende kwenye mashetani yaliyoko kwibutuke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…