Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Kijana ameonyesha Ukw.ere wake halisi....maneno machafu kwenye hoja yanafaya hoja iwe chafu na yanamtambulisha mtoa hoja mwenyewe.
Tatizo katokana na Zinaa hana adabu.MUNGU peke yake ndiyo anajua kusudi la kuwepo hai Warioba na kila aliye hai ulimwenguni maana ndiye anayetuwezesha kupumua.Punguani Riz anaonyesha uchawi mapemaaaa.Baba yake JK akifika umri gani anatakiwa asiendelee kuwepo Duniani?.
 
tatizo la nchi za kiafrika, baba akiwa Rais basi mtoto naye ni Rais mama pia ni Rais - kazi tunayo.

usisahau hata mkuu wa kurugenz nae anatoa maneno ya shombo,,,,,,juz wamemwita babu wa watu mnafiki,,,,looooool,
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

Haka ka jamaa kakipata madaraka katakuwa kama yule Kim wa N. Korea
 
Ni mbunge mtarajiwa hoja yake ataenda kuitetea kwenye bunge la katiba mwezi agost
 
Ni mbunge mtarajiwa hoja yake ataenda kuitetea kwenye bunge la katiba mwezi agost hiyo ni changamoto kwa wana chalinze!
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!
Aisee kama ametamka maneno haya kweli kakosa staha hata kama ni siasa ndo amseme hivyo mzee wa watu. Ndo matatizo ya kuwa na mfumo wa kifalme vinginevyo heshima ingalikuwepo. Yeye ana uhakika gani wa kuishi daima dumu kwani hajaona vijana wanatangulia na wazee wanabaki all in all uhai anao Mungu.
 
Mungu tubariki vijana tuelewe huu uzandiki na kupinga kwa nguvu zote.:amen::amen:
Tatizo vijana wengi huwa hawapigi kura hili ndilo tatizo kubwa hapa kwetu. Wengine wanapewa ujira mdogo tu wanaacha kutetea maslahi ya nchi wanaweka mbele siasa na uchama. Tumuombe Mungu atusadie bara letu la africa kwani watawala wake wengi wanafanana.
 
Haka ka jamaa kakipata madaraka katakuwa kama yule Kim wa N. Korea

Na atawatafuta wabaya wake Kimya kimya, then ataamrisha mbwa wenye njaa kali kuwararua wabaya wake. Jiandaeni kisaikolojia
 
Tusubiri naye Ridhiwani
akizeeka, ataanza kudai serikali tatu. Kumbe serikali tatu ni ya sisi
wazee tuliomaliza muda wa kucheka.
Mkuu ukiwa ndani ya System huwezi ona uozo mpaka utoke nje ya system hiyo.
 
Kabila lake na dini anayotoka haijawahi kuwa na adabu wala kuheshimu wazee..besides that kakosa malezi ya mama ndo maana hana adabu..amekulia kwa shangazi zake toka utotoni ...simshangai
 
Kwenye waraka wa
Mwalimu Nyerere "TUJISAHIHISHE" alioutoa Dar es Salaam May 1962
akiwalenga viongozi na wanachama wa TANU mojawapo wa maelekezo yake
namnukuu ...." haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au
ni binamu au ana sauti au ana sura nzuri
.....jambo kubwa ni
kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeiweza kazi..." Nafikiri
viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi wamelifumbia macho hili
ndiyo maana wanateua hata girlfriends zao kwenye nafasi ambazo si
kutokuziweza tu bali ni kuwafanya walioteuliwa kubainika ujuha wao!
Quote me!
Fair play...huu mchezo Vyama vyote vinaufanya. Mfano; Dada yake Tundu Lisu ni mbunge viti maalumu Singida mjini. Joyce Mukya wa Mbowe, n.k n.k Hivyo CHADEMA=CCM
 
Ninacho amini ni kwamba muda si mrefu ujao MADARAKA YA KURITHISHANA YATA KOMA, ipo siku wadanganyika wote watabadirika.
 
Kwan yeye anauhakika gani wa kuendelea kuishi? ana mkataba na Mwenyezi MUNGU? ni upuuzi mtupu, wasubiri 2015 tuwachape.
 
Fair play...huu mchezo Vyama vyote vinaufanya. Mfano; Dada yake Tundu Lisu ni mbunge viti maalumu Singida mjini. Joyce Mukya wa Mbowe, n.k n.k Hivyo CHADEMA=CCM
hapo kwenye fair play hapana mushkeli! tatizo ni pale alipoingilia kazi za MOLA! eti! WARIOBA ni mtu may be asingetakiwa kuwepo! maana naogopa hata kutaja kufru hii wallaaah! takbiiiiir!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom