Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Kinaja anaonekana 'ana nguvu' aisee, yote aliyoyasema inaonekana yanatimia.
Rasimu ilikuwa imebakishwa mifupa lakini sasa hata hiyo 'mifupa' wanaikongoloa na kuitupilia mbali!
Kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo na si utani.
 
Aisee kama ametamka maneno haya kweli kakosa staha hata kama ni siasa ndo amseme hivyo mzee wa watu. Ndo matatizo ya kuwa na mfumo wa kifalme vinginevyo heshima ingalikuwepo. Yeye ana uhakika gani wa kuishi daima dumu kwani hajaona vijana wanatangulia na wazee wanabaki all in all uhai anao Mungu.


Mtoto wa Gadafi ulipo anza upinzani dhidi ya baba yake alisema; Hao wanaondamana ni mapanya na walevi wa unga tutawafyekelea mbali!
 
Mtoto wa Gadafi ulipo anza upinzani dhidi ya baba yake alisema; Hao wanaondamana ni mapanya na walevi wa unga tutawafyekelea mbali!

Na hao hao aliowaita mapanya ndio waliokuja kumuua baba yake na kumwacha na vijiti vikining'inia. Hahahahaaaa!!!!
 
Hata watoto wa sadam husein walikuwa hivi,siku yaja.
 
kuna jaji anaitwa Robert Kisanga, yeye alipewa White Paper na Mkapa.
aliporudisha majibu ya hiyo karatasi nyeupe, basi akaleta 'stori ya serikali tatu.
weeeh ! kilichompata hatakisahau, Mkapa alimfokea hadharani na kumkashifu.
 
Maji hufuata mkondo.itatuchukua miaka mpaka karne mpaka cku 2jitambue,kama ilivyo hulka ya mwadamu wa karne hi mimi kwanza. Tatizo ni upumbavu w2 wa tz acha twende 2takavyo!.coz kila k2 kpo ktk mikono na hatima y2.ipo cku w2 watagu2ka
 
Sisi-yemu viongozi walikuwepo enzi hizo. Kwasasa du majanga tu. Riz-moko nikiongozi? Nishiiidaaa!!!
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

Mbona Hata Yeye MSHUA Wake Ameshachoka Na Kila Kukicha 4DC Zinampungua Tu Mwilini? Wewe Kijana ACHA na UKOME Kabisa Kumdhalilisha Mzee Wetu Warioba Vinginevyo Na Mimi Nitayatoa Laivu Ya MSHUA Wako. Nawafahamu KINDAKINDAKI Na Isitoshe Wewe RizMoja Ni Shemeji Yangu Kwani NIMEKUNGONGEA a.k.a KUKUGEGEDEA Mno Na Sana Sisteri Wako FATUMA Kipindi Nikiwa Nae Skonga SHIGHATINI SECONDARY SCHOOL Kipindi Cha Mkuu Wa Shule Hiyo Mzee Mwalimu Thomas Kavuye au TK. Nakuheshimu Sana Dogo Na Acha UPUUZI Kwani TUNAJUA MIPANGO YAKO YOTE. au UNATAKA NIKUCHAFUE na NIFUNGUKE HUMU JF UAIBIKE? Nakuvutia PUMZI.
 
Yale ni maoni yake kama mtanzania, ana haki ya msingi kufanya hivyo

Na si kushambulia watu na kujifanya Mungu mtu kwa kuamua nani ana muda wa kuishi na nani muda wake umekwisha.
 
Mzee ES,

Usijaribu kutetea kushuka kwa ukusanyaji kodi kwa sabubu za ajabu. Ukweli ni kwamba ukusanyaji kodi umeshuka kutokana na serikali ya sasa kuwa ni serkali isiyoweza kumudu uchumi. Inauporomosha kwa kasi ya ajabu kabisa. Nimetoa takwimu kwenye mada ya “MV Kiwete Inazama?”

Unasema Mkapa alihongwa kuweka matokeo sawa Dodoma. Kama hivyo ndivyo, basi itakuwa JK na ajenti wake Rostam, ndio wahongaji. Kama tuna Rais aliyeingia madarakani kutokana na kumhonga aliyemtangulia, basi hali ni mbaya, na JK hastahili sifa unazompa.

Unauliza kwa nini Mwalimu alitoka bila mali baada ya kutawala miaka mingi. Mwalimu hakupenda kabisa mali binafsi. Alizipiga vita, na waliokuwa na mali wakati wake walikiona cha mtema kuni. Mwalimu alikuwa na asili ya utakatifu, na kumlinganisha na watu wa kawaida kama Mkapa na JK sio sahihi. Kuna wakati Mwalimu alijichimbia Dodoma akawajengea watu masikini nyumba kwa muda mrefu sana. Hiyo sio hatua ya mtu wa kawaida kama wewe na mimi au Mkapa. Morally, Mwalimu anafanana zaidi na Mother Teresa kuliko Mkapa au JK.

Nchi yetu iliwekeana mkataba na IPTL wakati JK akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Na kabla ya hapo kidogo alikuwa anahusika na nishati. Inasemekana ni JK alimshinikiza Mwinyi akubali huo mkataba. Anakana, lakini sio hoja kwani hana mazoea ya kusema kweli.

Unasema vile vile kwamba Tanzania ni masikini, na ni kweli. Unakosea pale unapotegemea Mkapa awe masikini kwa vile Tanzania ni masikini. Tukiwa masikini wote ni nani atawekeza ili kuinua nchi? Mtu aliyefanya kazi ndani na nje ya nchi kwa miaka mingi kama Mkapa halafu akabaki masikini ni goigoi. Mtu wa nafasi kama alizokuwa nazo Mkapa akiweka akiba na kuwekeza fedha zake anazopata kihalali, lazima atakuwa na mali nyingi.

Augustine Moshi

upo sahihi sana!!! sa nyngn tuzthamnishe na kaul zetu
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

Waajiri wa Paul Makonda..
 
Back
Top Bottom