Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Kule chalinze atawawakilisha hata nyie wazee, na atapata tu Nafasi hiyo maana hao wapinzani hawana cha maana wanachoongea kwenye mikutano yao ya kuomba nafasi ya ubunge, Mfano chadema wanaelezea tu historia ya matukio yao, mala polisi wanatupiga sana, mala oooh... polisi wametuua sana... mala mwenzetu Daudi Mwangosi aliuawa na polisi..." sasa nikasema marehemu Daudi Mwangosi kwani si aliendaga kule kwenye mkutano wa chadema kama Mwandishi wa habari na sio kama kada wa chadema.

Kupata najua atapata tu, sasa kwa jinsi anavyotudharau na kutudhalilisha wazee ni kama hatuhitajiki nchi hii wala hatutakiwi kudai chochote tunachokiona hakiko sawa. Hayo ya CDM hayahusiki kwenye huu uzi na wala Mzee JAji Warioba hakuzeeshwa na CDM, ni muda tu umesogea na kubahatika kula chumvi nyingi.
 
Wachangia mada jitahidi kuangalia point ya mtoa mada, mimi binafsi naungana na Warioba ila Rizi hakustaili kutoa lugha yenye maneno ya karaha.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

Mimi sijasikiliza hiyo redio lakini kama ni kweli amesema hivyo ni jambo la kusikitisha. Hivi ni nani kamwambia kuwa mtu akiwa mzee ndiye atakufa kwanza halafu kijana abaki? Je yeye anajua muda wa kuishi wa Warioba umebaki kiasi gani? Natamani Mungu amwadhibu kwa kauli yake hii ya dharau na kumpuuza Mungu. Kwa kweli hapa ndipo nimeanza kuona huyu kijana hana busara kabisa!
 
Aisee mimi nilifikiri KAJAMBA au kaachia USHUUZI wenye harufu ya hatari..
Afadhali angefanya hivyo kwani ni afya kuliko hicho alichokifanya. Mtoto bilionea anaishi kwa kuwanyonya watanzania maskini....hata yeye hana mkataba na Mungu wa kuiona kesho hivyo achunge sana ulimi wake

  • Thanks
Reactions: ram
Wachangia mada jitahidi kuangalia point ya mtoa mada, mimi binafsi naungana na Warioba ila Rizi hakustaili kutoa lugha yenye maneno ya karaha.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kijana ameonyesha Ukw.ere wake halisi....maneno machafu kwenye hoja yanafaya hoja iwe chafu na yanamtambulisha mtoa hoja mwenyewe.
 
Yale ni maoni yake kama mtanzania, ana haki ya msingi kufanya hivyo

Kama kweli kaongea hivo basi hajalelewa vizuri na mama yake. Hiyo lugha si nzuri kwake kumtamkia Warioba.
Na hii iwe kwa wote wanaomchukia huyu mzee. Kama sijakosea nakumbuka mambo haya kwa Warioba:
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanganyika.
2. Mwanasheria Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania(kumbuka ndo alikuwa mwanasheria mkuu wakati Muungano huu mnaoupigia kelele ulipofanywa na yeye ndo aliandaa documents kibao!
3.Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa
4. Waziri mkuu wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania n.k

Kati ya Riziwani, baba yake (Jakaya), Kinana (ana uraia wa kununua huyu ujue) na wagonjwa wote wa kufikiri nani anaweza kulinganishwa na huyu mzee katika Experiences, na mambo aliyoyashuhudia na kuyafanya katika nchi hii kwa ajili ya nchi hii? ACHENI KUMTUKANA WARIOBA, FANYENI ARGUMENTS KWA CONCRETE REASONS!
 
[/SIZE] Afadhali angefanya hivyo kwani ni afya kuliko hicho alichokifanya. Mtoto bilionea anaishi kwa kuwanyonya watanzania maskini....hata yeye hana mkataba na Mungu wa kuiona kesho hivyo achunge sana ulimi wake

[/SIZE]

Mkuu, ajiulize pia watoto wa Gadaffi wa Libya na Mmbaraka wa Misri wako wapi! The morrow is near the corner.
 
Mkuu, ajiulize pia watoto wa Gadaffi wa Libya na Mmbaraka wa Misri wako wapi! The morrow is near the corner.
kulinganisha mambo ya arabuni ni kujipa matumaini ya bure.
 
Ikiwa maneno hayo yametoka kwa ridhiwani sioni ajabu sijawahi kuona la maana aliloliongea ktk hadhara yoyote kama lipo nijuzeni
 
Tanzania Kwanza, Tanganyika Kabla.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kilichobakia ni 2015 hawa watu wote wafilisiwe!
 
Mpwa, wewe unataka serikali ngapi?

Haya, sema wewe kasema kweli? Yawezekana Warioba pia anapenda serikali mbili, ila wananchi wanataka serikali tatu. Kuna ubaya gani Warioba akisema maoni ya watu. Na huyu RizMoko ni nani mpaka apewe attention namna hii? haka karedio kumbe nako ka kisengenye, ndo nimejua leo.
 
Acha umbeya wako;
Kwani kasema uongo?

Help me Mamndenyi nini Faida ya Muungano? nini Faida ya serikali mbili? hebu twende Hoja kwa hoja mkuu, kama unatetea muungano na serikali mbili basi nieleweshe na mimi ili nikuunge mkono.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

Kuwa mzee haimaanishi muda wa kuishi umekwisha; kuna vijana kibao wametutoka wakiwa na umri mdogo wakawaacha wazee wanapeta! Saazingine tusiruhusu hisia zetu zituendeshe tukufuru; tunaendelea kuishi si kwa ujanja+uwezo wetu bali kwa rehema za mwenyezi Mungu!
 
Waswahili wana msemo kuwa Mbwa wa Bwana Naye Bwana

Ni kweli ulichosema.Na ndiyo maana hata makada wa CCM wamepata nguvu ya kumtuhumu mzee wa watu kwa sababu zisizo na msingi.
 
Heheh dogo atakuwa amebwia sembe tititiiiii,warioba heshima yako!
 
Back
Top Bottom