Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

nadhani dokta warioba anapambana kwa ajiri vizazi vijavyo hata kama yeye HATOKUWEPO japo hakuna AJUAE nani atatangulia kati yao maana Unaweza shangaa hadi dokta warioba anafikisha mia tupo nae.ndugu zangu tuchague maneno ya kurushiana.kitabu changu kitakatifu biblia kinawataja wazee kama hazina kuna kitu ndani ya wazee mungu ameweka.pia katiba imeshirikisha makundi yote nadhani haikuwabagua wazee ,kwahiyo kila mtanzania hanayo haki ya kutoa mawazo yake.
 
mbuz wa kafara ni kafara tu hata awe mweupe, mzee warioba kajitoa kutetea mapendekezo ya wananchi,hii nchi imegaramiwa kuikomboa kwa kumwaga damu,lakin kunawasenge wamegeuza kama nchi ya shangaz yao,napata hasira sana kuona tunabuluzwa kiasi hiki,siku ikifika kila mtu itabidi abebe vyake,hata kwa nguvu,
 
Tunasubr mzee wake aondoke tu naona kibur kmemjaa anaona kama watz wote wako mfukon mwake.

Pesa znakuzuzua dawa yenu UKAWA na mwk huu vchwa vtawauma.

Warioba kwa hili namkumbuka sana Dr. Mvungi, ukweli utajulkan God knows...
 
warioba apigwe tu yeye ndo kalifikisha taifa hapa alikuwa wapi enzi za kale na apigwe tuuuuuuu
 
Tukiwa jeshini watoto wa maafande walikuwa wanatuita" Makuruta Wa baba" Huyo mshenzi anatuita je kwa baba ake Jk?
 
chadema inamilikiwa na walevi wa gongo,viroba na bangi

Ndo wengi sasa wa kuamua juu ya nchi yao,tunasubilia tu uchaguzi wa serikali za mitaa,huku ni kuwahamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwa wingi
 
Ndo wengi sasa wa kuamua juu ya nchi yao,tunasubilia tu uchaguzi wa serikali za mitaa,huku ni kuwahamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwa wingi

kinachokudanganya ni nini? uwingi wa watu kwenye mikutano ya cdm? mbn miaka yote waakuaga hivyo lkn hakunaga ushindi?
 
daaah uyo dogo amesha fanya ili taifa ni Mali ya Familia.
 
He is a disgrace to his own family...kwa hiyo sishangai
 
Jini limeshatoka kwenye chupa, hata watukane vipi halirudi. Linakwenda kukusanya nguvu ili lije liwasunami maccm.
 
nilikuwa namsikiliza riziwani mtoto wa jk akiongea times fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa mkuu wa kaya ila ana dharau,

namnukuu "kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia serikali tatu, namshangaa warioba anavyopayuka kuwa anataka serikali tatu, kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa waziri hakuwahi kudai serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka serikali mbili,warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa ccm?

Ridhiwani umeniboa!

riziwan yuko sawa sana huyu mzeee anataka kutufanya watanzania wajinga. Mbona hakuyafanya hayo wakati babake nyerere yupo?
 
huyo ridhiwani anaongea hivyo kupitia mgongo wa baba yake ndo anabwabwaja haoni umuhimu wa hichi kinachoongelewa cha katiba kwani yeye akitaka mjengo anapata, akitaka mafuta ya gesi anapata ndani ya dk1,

wewe uliona wapi kipindi cha nyerere au watoto wake wamefungua bank ? hawa wazazi wao nao ndo walewale ile urafiki bank inayofungualiwa ni yao
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!
 
Back
Top Bottom