Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Mkuu subiri Oct 2015 si mbali sana,kuna watu watarefuka ghafla maana huo ufupi wa umbo (Andunje) uko mpaka kwenye akili zao.Leo hii dogo anamwambia warioba hivo cjui itakuaje huko mbeleni
Mkuu subiri Oct 2015 si mbali sana,kuna watu watarefuka ghafla maana huo ufupi wa umbo (Andunje) uko mpaka kwenye akili zao.Leo hii dogo anamwambia warioba hivo cjui itakuaje huko mbeleni
Nakubaliana na hoja yako na ulicho kiandika ndio hicho CCM tunakitaka.
Kama utakumbuka kauli ya rais, alisema hana tatizo na serikali tatu, kama utakumbuka kauli ya Nape kama msemaji wa chama, alisema CCM haina tatizo na serikali tatu kama Watanzania wakihitaji.
Jambo ambalo sikubaliani nalo ni hizo kauli za wapinzani kama vile, "Tanganyika haiepukiki", mara "bila Tanganyika patachimbika" etc
Kauli hizo ni wazi kuwa zimekaa kishari na zina viashiria vya uvunjifu amani. Sasa niwahikikishie wote wenye kauli hizo, endapo watathubutu kujaribu kwa namna yoyote kuidai Tanganyika kimabavu, basi nitakuwa mstari wa mbele kushinikiza FFU kuwaua tena kwa kuwapiga risasi za kichwa watu wote wa aina hiyo.
Hatuwezi kuendelea kuvumilia kauli za wapuuzi wachache wanaotaka kuingiza nchi yetu kwenye machafuko kisa matamanio yao kwa Tanganyika. Wakileta fujo wataenda kukutana na Tanganyika yao kuzimu.
Yani we Mamndenyi unashabikia kijana anayetarajiwa kuwa Mbunge anavyotukana wazee, tena waliolitumikia Taifa hili. Sasa sisi wazee wengine tulio hohehae atatuambia nini wakati tukimtuma akawakilishe kero zetu, ama Chalinze anatarajia kuwawakiliasha vijana tu?
Unamwekea maneno Riz 1,sio kweli
"Chadema iki ingia Ikulu Bangi na Gongo itaruhusiwa kuuzwa"-Dr Slaa
Ni bora walevi wa bangi na gongo kuliko walevi wa madaraka. CCm ni walevi wa madarakachadema inamilikiwa na walevi wa gongo,viroba na bangi
Kwa wale ambao wamefika chuo kikuu na kupata angalau shahada moja, hemu tuwe mstari wa mbele kusaidia wale ambao hawakupata elimu.
Ndugu zangu, katika kukusanya maoni ya watu, kuna njia mbalimbali hutumika, na matumizi ya njia hizo ndio zitapelekea uhalali wa data zilizopatikana na hivyo matokeo ya tafiti.
Kwa njia alizotumia Warioba na vibaraka wake, ni wazi kuwa "data" zake hazina uhalali wowote kwa kuwa sio data za kisayansi.
Mtafiti hawezi kukusanya maoni ya kajikundi fulani cha wananchi (ambacho labda kanataka serikali 3) halafu aje ahitimishe kuwa wananchi wanataka serikali tatu. Huo ni wendawazimu.
Yeye kama mwenyekiti wa tume akupaswa ku-generalize, angesema tu kwa mujibu wa data, idadi hii ilitaka hivi, hiyo ilitosha. Ila sio kudanganyana kuwa Watanzania tunataka serikali tatu kwa kutumia maoni ya watu 30,000.
Hata standards za sampling pekee zinatosha kuikataa rasimu ya Warioba.
tatizo la nchi za kiafrika, baba akiwa Rais basi mtoto naye ni Rais mama pia ni Rais - kazi tunayo.
Yale ni maoni yake kama mtanzania, ana haki ya msingi kufanya hivyo
chadema inamilikiwa na walevi wa gongo,viroba na bangi
Kukukoroga kwa kusema ukweli.ngoja nikueleze warioba ni mtu mwenye kisasi dhiidi ya mwalimu nyerere kwa sababu mwalimu are liilaumu serikali ya mwinyi kuwa imejaa rushwa katika wizara mbalimbali.wakati huo warioba alikuwa waziri mkuu.kwa tuhuma hizi mwinyi aldhamiria kumuondo warioba madarakani.kabla ya kuchukua hatua hizo warioba alipata fununu kutoka kwa akina butiku hivyo aliamua kujiuzuru kwa kisingizio cha kuwajibika.huo ndo ukweli kuhusu warioba si lolote si chochote
mbona hata sasa hivi vinaruhusiwa!,wauza gongo na bangi wote wanajulikana na magamba,karibu kila kata hapa nchini hiyo biashara ipo,unasemaje haijaruhusiwa?.
Yale ni maoni yake kama mtanzania, ana haki ya msingi kufanya hivyo
Ipo siku utaolewa na Riz1.
Kauli kama hii Hamy-D ni za chuki iliyokithiri sana mkuu, Yaliyotokea Rwanda yalianza kwa kauli kama hizi hizi.Nakubaliana na hoja yako na ulicho kiandika ndio hicho CCM tunakitaka.
Kama utakumbuka kauli ya rais, alisema hana tatizo na serikali tatu, kama utakumbuka kauli ya Nape kama msemaji wa chama, alisema CCM haina tatizo na serikali tatu kama Watanzania wakihitaji.
Jambo ambalo sikubaliani nalo ni hizo kauli za wapinzani kama vile, "Tanganyika haiepukiki", mara "bila Tanganyika patachimbika" etc
Kauli hizo ni wazi kuwa zimekaa kishari na zina viashiria vya uvunjifu amani. Sasa niwahikikishie wote wenye kauli hizo, endapo watathubutu kujaribu kwa namna yoyote kuidai Tanganyika kimabavu, basi nitakuwa mstari wa mbele kushinikiza FFU kuwaua tena kwa kuwapiga risasi za kichwa watu wote wa aina hiyo.
Hatuwezi kuendelea kuvumilia kauli za wapuuzi wachache wanaotaka kuingiza nchi yetu kwenye machafuko kisa matamanio yao kwa Tanganyika. Wakileta fujo wataenda kukutana na Tanganyika yao kuzimu.
Mkuu, aolewe mara ngapi? Ifweero yeye ni kutukana wale wote wanaompinga jk na riz1. Moja ni baba mkwe na r ba-ha-sha wake.