Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

Wamemliza muda wao wa kuishi na kucheka????? Makubwa!!!
 
tatizo la nchi za kiafrika, baba akiwa Rais basi mtoto naye ni Rais mama pia ni Rais - kazi tunayo.

Duh! Salalee! Bata wao Rais, Mbwa wao Rais, paka wao Rais na hata housegirl na houseboy wao Marais
 
Mbona ume-panic baada ya kuelezwa ukweli!?

Tulia tuli na uliweke kalio sawa sindano ikuingie!!!

Kuwa mtumwa sio lazima uuzwe ama kupigwa minyorroro miguuni kama walivyofanywa mababu zetu enzi zao, jamii yoyote ikiisha kushindwa kujielewa ni wapi walipo basi ni zaidi ya utumwa na wakati huo huo mtu mwenye macho anapofanya matendo sawa sawa na kipofu ni hatari zaidi ya yule mwenye upofu wa kweli.

Serikali ya CCM ni serikali huria ambayo kila mtu anaweza kujiamulia mambo yake tu kwa kuwa hakuna chombo ndani ya chama cha kumonitor wanayofanya mashabiki wake. Kitatoka wapi chombo hicho wakati kila mmoja yupo kwa ajili ya nafsi yake tu? Leo Ridhwan kasema hivi kesho kafanya vile ni upuuzi...

Pamoja na taaluma yake ya sheria ambayo hata hivyo ni ya kubebwa alistahili kuona mbali kwa kufahamu ukweli ametumia vyema fursa kutoka kwa baba yake kujilimbikizia mali na kwamba siasa ni mchezo wa fitna, kwamba enrolment yake kwenye siasa ingeweza kumpunguzia baba yake credibility of which iko chini na kuprove dhana iliyopo vichwani mwa watu kwamba kila analolifanya ni elekezi kutoka ikulu.
 
Hapana, nahisi labda hukupata nafasi ya kukutana na tume. Otherwise sioni sababu ya kupinga kilicholetwa na tume.

Mwisho wa siku wananchi wote tutapiga kura kupata mustakabali wa nchi yetu. Wajumbe wa bunge la katiba nao hawafiki 1k. Bado hata maamuzi yao hayataashiria matakwa ya watanzania wote.

Tunajenga nyumba moja hakuna sababu ya kunyang'anyana fito kwa jazba.

Nakubaliana na hoja yako na ulicho kiandika ndio hicho CCM tunakitaka.

Kama utakumbuka kauli ya rais, alisema hana tatizo na serikali tatu, kama utakumbuka kauli ya Nape kama msemaji wa chama, alisema CCM haina tatizo na serikali tatu kama Watanzania wakihitaji.

Jambo ambalo sikubaliani nalo ni hizo kauli za wapinzani kama vile, "Tanganyika haiepukiki", mara "bila Tanganyika patachimbika" etc

Kauli hizo ni wazi kuwa zimekaa kishari na zina viashiria vya uvunjifu amani. Sasa niwahikikishie wote wenye kauli hizo, endapo watathubutu kujaribu kwa namna yoyote kuidai Tanganyika kimabavu, basi nitakuwa mstari wa mbele kushinikiza FFU kuwaua tena kwa kuwapiga risasi za kichwa watu wote wa aina hiyo.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia kauli za wapuuzi wachache wanaotaka kuingiza nchi yetu kwenye machafuko kisa matamanio yao kwa Tanganyika. Wakileta fujo wataenda kukutana na Tanganyika yao kuzimu.
 
mwalimu Nyerere alikuwa anaogopwa sana,sina hakika kama alikuwa anaheshimiwa.kama mzee yule angekuwa hai leo maneno yale yale aliyoyatumia Riz1 ninahisi angeweza kumwambia mwalimu mwenyewe.Kwa jinsi mwalimu alivyokuwa mkali Hawa wahehimiwa Warioba,mzee Butiku, mh Salimu na wengine wengi tu AKIWEMO raisi mwenyewe J Kikwete hawakuwa na ubavu wa kuhoji muundo wa muungano,vile vile sisi wananchi hatukuwa na ubavu wa kusema lolote juu ya muungano.Kwa sababu hizo hapo basi nawaomba wanaopinga serikali tatu waelewe kuwa wakati wa kurekebisha makosa ya muungano ni sasa na wananchi ndio wanaosema hivyo,siyo Jaji Warioba. wanaobisha basi watoe ushawishi ili ifanyike kura ya maamuzi (referendum).Yangu machache ni hayo.
 
Kumbe wewe mwanasiasa.. Samahani, mi nlikuwa nachangia kama mtanzania asiye na mapenzi na chama chochote cha siasa.

Endeleeni wanasiasa. Katiba yetu naamini haitafuata matakwa ya chama chochote cha siasa. Mungu na atuongoze tufike salama.

Alamsiki.
 
Nilidhani natapata ngoja nikaze buti serikali mbili oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sent from my iPhone
 
Kuwa mtumwa sio lazima uuzwe ama kupigwa minyorroro miguuni kama walivyofanywa mababu zetu enzi zao, jamii yoyote ikiisha kushindwa kujielewa ni wapi walipo basi ni zaidi ya utumwa na wakati huo huo mtu mwenye macho anapofanya matendo sawa sawa na kipofu ni hatari zaidi ya yule mwenye upofu wa kweli.

Serikali ya CCM ni serikali huria ambayo kila mtu anaweza kujiamulia mambo yake tu kwa kuwa hakuna chombo ndani ya chama cha kumonitor wanayofanya mashabiki wake. Kitatoka wapi chombo hicho wakati kila mmoja yupo kwa ajili ya nafsi yake tu? Leo Ridhwan kasema hivi kesho kafanya vile ni upuuzi...

Pamoja na taaluma yake ya sheria ambayo hata hivyo ni ya kubebwa alistahili kuona mbali kwa kufahamu ukweli ametumia vyema fursa kutoka kwa baba yake kujilimbikizia mali na kwamba siasa ni mchezo wa fitna, kwamba enrolment yake kwenye siasa ingeweza kumpunguzia baba yake credibility of which iko chini na kuprove dhana iliyopo vichwani mwa watu kwamba kila analolifanya ni elekezi kutoka ikulu.

Inaelekea wewe ni aidha mgeni kwenye siasa au mwenyeji ambae ni goigoi.

Umesema kuhusu chombo cha ku-monitor chama, ndani ya CCM kipo, ila kumbuka kuwa katiba ya nchi imeruhusu uhuru wa kutoa mawazo/maoni. Sasa ulitaka chombo hicho kipore uhuru huo wa wana-CCM!? Hoja dhaifu.

Ngoja nikukumbushe, Sugu (Mbunge kupitia CHADEMA), alimtukana Waziri Mkuu tusi (alimuita M.pu.mbavu), yani hadi JF wenye wameliona kuwa tusi ndio maana hawarusu tutumie. Je, CHADEMA ilisema nini kuhusu hilo?!

Nadhani hapa mtumwa ni wewe, hemu jaribu kujitoa kwenye pingu alizokupiga Dr Slaa ambazo zinakufanya uwe kama msukule.
 
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,

Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?

Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?

Ridhiwani umeniboa!

utawala wa mfalme juha unaendelea Tanzania
 
Ukitupa mishale gizani kisha ukasikia kelele ujue huo au hiyo mishale imewapata watu.

Waryoba katupa mishale gizani,imewapata watu,wanalia na maumivu makali ya sumu,watapiga kelele ila mwisho wao watakufa kwa sumu.waryoba kaa upumzike,umemaliza kazi.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
 
mwalimu Nyerere alikuwa anaogopwa sana,sina hakika kama alikuwa anaheshimiwa.kama mzee yule angekuwa hai leo maneno yale yale aliyoyatumia Riz1 ninahisi angeweza kumwambia mwalimu mwenyewe.Kwa jinsi mwalimu alivyokuwa mkali Hawa wahehimiwa Warioba,mzee Butiku, mh Salimu na wengine wengi tu AKIWEMO raisi mwenyewe J Kikwete hawakuwa na ubavu wa kuhoji muundo wa muungano,vile vile sisi wananchi hatukuwa na ubavu wa kusema lolote juu ya muungano.Kwa sababu hizo hapo basi nawaomba wanaopinga serikali tatu waelewe kuwa wakati wa kurekebisha makosa ya muungano ni sasa na wananchi ndio wanaosema hivyo,siyo Jaji Warioba. wanaobisha basi watoe ushawishi ili ifanyike kura ya maamuzi (referendum).Yangu machache ni hayo.
 
Acha umbeya wako;
Kwani kasema uongo?

kwa hiyo huyo naye ni politician?
kweli Tanzania ina kazi,,alete na hela zote za sembe asaidie kushinda chalinze,na yule mdogo wake naye tunasikia atagombea kawe very soon,,,soo Kikwete nayo ni family ya kisiasa,,,hahahhaaaaaaaa,,,,,,,
 
Duh kama kasema hayo basi ni dharau isiyo kifani.
 
Wale wanaojua Uongozi wanajua athari za Restructuring and Reformation kwenye Status Quo. Since kuwa politician ni Business kama upo na akili kamwe hutakuballi mabadiliko yeyote ambayo unadhani yatakuletea madhra (Threat to your QUO). Ingawa ni muono hafifu tu kuwa wewe na wanao wataishi vizuri chini ya mfumo huu. Let Zanzibar Go,
 
Unamwekea maneno Riz 1,sio kweli

"Chadema iki ingia Ikulu Bangi na Gongo itaruhusiwa kuuzwa"-Dr Slaa

mbona hata sasa hivi vinaruhusiwa!,wauza gongo na bangi wote wanajulikana na magamba,karibu kila kata hapa nchini hiyo biashara ipo,unasemaje haijaruhusiwa?.
 
IJUMAA KARIIM WARIOBA alikusanya maoni kutoka kwa wananchi tanzania yote,kumbuka!-kunawalio puuza kujitokeza! kumbuka!-kuna waliojitokeza na kujitoa muhanga kwa hali na mali,SASA! kibaya kabisa kuliko vyote WALE ambao hawakujitokeza ktk zoezi la kutoa MAONI ndio hao WANAONA KUWA MAONI YANAWALAKINI! <watanzania tuache unafiki>
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom