msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,143
Yale ni maoni yake kama mtanzania, ana haki ya msingi kufanya hivyo
Maoni gani haya mkuu ambayo yanafaa kupewa kipao mbele kama unavyolipuka? Hiki ndicho kiwango cha mawazo ya viongozi wetu? Unataka kuniambia hata kama ni upuuzi, mtu azungumze tu kisa ana uhuru wa kutoa mawazo?!
Mkuu hapa unakosea, hata kama ni mapenzi, punguza. Au ndio ile methali "love is blind"?!