zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,339
- 9,818
bwanamdogo kalewa sifa za utukufu wa ikulu, ni kapuuzi sana ako kakwere
bwanamdogo kalewa sifa za utukufu wa ikulu, ni kapuuzi sana ako kakwere
Naunga mkono hoja zake
Unamwekea maneno Riz 1,sio kweli
"Chadema iki ingia Ikulu Bangi na Gongo itaruhusiwa kuuzwa"-Dr Slaa
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau,
Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda wao wa kucheka hapa duniani lakini ndio wa kwanza kushadadia Serikali tatu, namshangaa Warioba anavyopayuka kuwa anataka Serikali tatu, Kila siku anafanya interview kwenye redio tv na magazeti,ameshikilia maoni ya watu kama yake binafsi. Mbona wakati akiwa kijana na akiwa Waziri hakuwahi kudai Serikali tatu ila alikuwa anashikilia serikali mbili? Iweje leo anapayuka kudai serikali tatu?
Ila kwa sentensi hiyo kanikoroga akili! Kumbe naye anataka Serikali mbili,Warioba kutetea hoja za wananchi imekuwa nongwa sana kwa watu wa CCM?
Ridhiwani umeniboa!
Haya, sema wewe kasema kweli? Yawezekana Warioba pia anapenda serikali mbili, ila wananchi wanataka serikali tatu. Kuna ubaya gani Warioba akisema maoni ya watu. Na huyu RizMoko ni nani mpaka apewe attention namna hii? haka karedio kumbe nako ka kisengenye, ndo nimejua leo.
Kwenye waraka wa Mwalimu Nyerere "TUJISAHIHISHE" alioutoa Dar es Salaam May 1962 akiwalenga viongozi na wanachama wa TANU mojawapo wa maelekezo yake namnukuu ...." haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au ni binamu au ana sauti au ana sura nzuri.....jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeiweza kazi..." Nafikiri viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi wamelifumbia macho hili ndiyo maana wanateua hata girlfriends zao kwenye nafasi ambazo si kutokuziweza tu bali ni kuwafanya walioteuliwa kubainika ujuha wao! Quote me!
basi tukienda kwa mwendo huu tunaweza kuelewana. Kwa hiyo unataka kusema hadidu za rejea zilitoa contents zote za rasimu au zilielekeza tume ikusanye maoni ya wananchi na kujumuisha walichoambiwa!?Kwenye hadidu rejea hakuna suala la muundo wa muungano
Acha umbeya wako;
Kwani kasema uongo?
Eti Katibu mkuu wa CCM mtarajiwa.........kijana mdogo anakuwa na akili za kizee namna hii, akizeeka si atakuwa na akili za bata bukini huyu?!!!Tusubiri naye Ridhiwani akizeeka, ataanza kudai serikali tatu. Kumbe serikali tatu ni ya sisi wazee tuliomaliza muda wa kucheka.
Seconded....!Mi nshasema apewe ulinzi mzee warioba
Sasa ulitaka atetee serikali Tatu wakati chama kinataka Serikali mbili?Sasa kama wakati wa Warioba umekwisha yeye anauhakika wakuishi kufikia miaka ya Warioba?Na baba yake ana miaka mingapi leo?Naye tuseme muda wake wa kuishi umefika?
Ni asiye na akili tu anauwezo wa kuongea haya aliyoongea kama kweli ameongea,kwani hakuna mtu aijuaye siku wala saa yake ya kuondoka si kijana,mtoto,mzee na hata mgonjwa.
Pole zake lakini,msamehe pia NAFASI aliyonayo ndiyo inamfanya aseme hayo aliyosema.
Mzee zipo topic hapa pia ukisearch utapata list ya ndugu wenye uongozi CDM.
Kwann unanukuu kitu kimazingira ya kujiaminisha kitu kisicho na ukweli?
Marekani imeongozwa na Bush wangapi?
Lakin wale wa viti maalumu ambao mmoja ni mke wa Slaa alokamatwa kule kalenga vipi hujamuona?
Mkya ambae ni hawara wa Mbowe vipi naye hujamuona?
Dada yake Tundu Lissu vipi nayeye?
Sasa njoo uangalie uhusiano uliopo baina ya Muasisi wa chama na Mwenyekiti wa Chadema!
Sasa lipi jipya ambalo CCM wamefanya?
Acha umbeya wako;
Kwani kasema uongo?
Atakuwa rais wa wakwere,kwa Tanganyika Big no!Anadai ana ndoto ya urais.na atafanya makubwa akiwa rais.