Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Huyu mtoto lazima aende the Hague, kila mabaya yumo na familia ya makamba. Watanzania huyu mtoto anakuja kufa kifo kibasa mno. Watu wakikusema sana, ujaribu kuwa mwangalifu unakuja kuingia pabaya
 
Kwa ujumla familia ya kikwete yote ina laana. Tangu uhuru wa nchi haijawahi kutokea rais familia ya rais kulalamikiwa kama ilivyo kwa kikwete. Lakini kiwete na familia yake wafahamu kwamba hata kama itakuwa ni miaka kumi ijayo lazima na ni must watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kugeuza ikulu kuwa nyumba ya familia. Lazima atatokea rais mwenye uchungu hata kutoka ccm yenyewe atakayeruhusu mabadiliko ya katibu ili iruhusu marais wastaafu kubanwa mbavu kwa makosa waliyofanya ili iwe fundisho kwa wengine. Watu kama akina rizwan labda watafute nchi nyinge watakayoenda kuishi.
 
Huyu kijana yatamfika si punde ujinga wake anadhani familia yake itakuwepo madarakani milele zote bila kujua miaka mitano iajayo itapukutika kama majani ya mti wakati wa kiangazi awe mwangalifu huku akijua hawezi kufikia kiwano cha Hussein Mwinyi maana hana mvuto kwa watu
 
Mtoto wa JK Ridhwani amekuwa akitajwa katika matukio mbalimbali yasiyopendeza kwa Watanzania.Ametajwa kuvuruga uchaguzi Shinyanga mjini na hiyo aliyotajwa na Dr.Slaa.Maneno anayotoa kwa Dr.Slaa si ya kiungwana kwani Dr. ni mzazi wake.Sasa asiyefunzwa na mamaye huvunzwa na ulimwengu.Katika awamu zote za urais hapo TZ haijawahi kutokea familia kujihusisha na uongozi wa nchi ambayo katiba inaainisha wazi viongozi.TZ inaelekea wapi kwa hali hii?WANA JK NAOMBA MAONI YENU KWANI MIMI NIKO NJIA PANDA.
 
Sijui kama ulimaanisha hicho ulichoandika, lakini nadhani ulimaanisha wanaJF.
hatari zidi ni hii ya kusema kuwa anaandaliwa kuwa presidaa wa 2015!...Of course najua huenda umri usimruhusu, lakini hata kujaribu kuwaza jambo hilo ni dhambi kwa Tanzania ya leo.
Akili za kikwere kwa miaka 20 si tutakuwa wacheza ngoma wote, au ni mpango-mkakati wa kupafanya Busoga kuwa jiji!
 
Nadhani kwenye red ulikusudia MWANA JF.

Ok tukirudi kwa huyo kijana picha mbaya sana wakwere wanatengeneza na hii inakera wengi
 
Kila siku kuna thread kadhaa kuhusu haka kajamaa. Hivi kana umuhimu gani kwenye mustakabali wa taifa letu?
 
Tabia yake kweli hata mimi imenikera sana....Lazima Kikwete aweke limits kwa familia yake kujihusisha na mambo ya hii nchi...Hata kama Slaa alimtuhumu kwa lolote lile,angetumia busara kum-confront...Au kafundishwa na baba yake hiyo ndio njia ya kuingia kwenye siasa???
Ajifunze kwa Januari Makamba...
Rubbish!
 
Nadhani kwenye red ulikusudia MWANA JF.

Ok tukirudi kwa huyo kijana picha mbaya sana wakwere wanatengeneza na hii inakera wengi

familia hii haijifunzi kutoka kwenye madhara zilizopata familia za akina sadam, yanapotokea mabadiliko familia nzima huteketea.
 
nchi hii haina mkubwa sasa. kila mtu anawaka tu, hivi kweli dogo huyu ni mtu wa kumjibu dr. kwani imetuhumiwa familia au ccm!
 
Tabia yake kweli hata mimi imenikera sana....Lazima Kikwete aweke limits kwa familia yake kujihusisha na mambo ya hii nchi...Hata kama Slaa alimtuhumu kwa lolote lile,angetumia busara kum-confront...Au kafundishwa na baba yake hiyo ndio njia ya kuingia kwenye siasa???
Ajifunze kwa Januari Makamba...
Rubbish!

I think that January>0>Ridhiwani
 
Sijui kama ulimaanisha hicho ulichoandika, lakini nadhani ulimaanisha wanaJF.
hatari zidi ni hii ya kusema kuwa anaandaliwa kuwa presidaa wa 2015!...Of course najua huenda umri usimruhusu, lakini hata kujaribu kuwaza jambo hilo ni dhambi kwa Tanzania ya leo.
Akili za kikwere kwa miaka 20 si tutakuwa wacheza ngoma wote, au ni mpango-mkakati wa kupafanya Busoga kuwa jiji!
na january makamba naye ameshatamka kuwa 2015 anagombea urais, kaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
I think that January>0>Ridhiwani

huo ni wivu mnaionea familia ya KIKWETE, anapenda familia yake mbona nyie shughuli zenu mnahusisha watoto wenu januari hawezi gombea msifikirie hilo. Wakwere ni watu waliopata malezi bora, huwezi linganisha na Makabila mengi yaliyojaa ubinafsi na Tamaa hata mwalimu aliyataja au tukumbushie uelewe. msitupeleke tufikirie mnadhani kuwa ni kweli
 
Looks like you've Been shot ovet more times than Bagdad!
 
huo ni wivu mnaionea familia ya KIKWETE, anapenda familia yake mbona nyie shughuli zenu mnahusisha watoto wenu januari hawezi gombea msifikirie hilo. Wakwere ni watu waliopata malezi bora, huwezi linganisha na Makabila mengi yaliyojaa ubinafsi na Tamaa hata mwalimu aliyataja au tukumbushie uelewe. msitupeleke tufikirie mnadhani kuwa ni kweli

Kwa vile zinahusisha resources zetu binafsi na hapa kumbuka tunazungumzia resourecs za taifa...sisi hatuna wivu na hiyo familia...tunataka taratibu zifuatwe
 
Sijui kama ulimaanisha hicho ulichoandika, lakini nadhani ulimaanisha wanaJF.
hatari zidi ni hii ya kusema kuwa anaandaliwa kuwa presidaa wa 2015!...Of course najua huenda umri usimruhusu, lakini hata kujaribu kuwaza jambo hilo ni dhambi kwa Tanzania ya leo.
Akili za kikwere kwa miaka 20 si tutakuwa wacheza ngoma wote, au ni mpango-mkakati wa kupafanya Busoga kuwa jiji!

Asante sana.Nilimaanisha WANA JF.
 
Tatizo hapa si Ukwere,huyu kijana ameonekana front kwenye mambo mengi akihusisha kazi za baba yake.Hivi rais huwa ni mtu mmoja(individual)au yeye na familia yake.Kama ni familia nasi tuwe tunawashirikisha watoto wetu watusaidie majukumu tunayopewa kwenye ofisi za watu.Halafu unategemea vip huyo mtoto awe na maadili,ayatoe wapi?baba mwenyewe mmemwona baba mkumbatia waovu wa kila aina,mpenda starehe za kipuuzi kwa fedha za watanzania huku akituacha tukididimia kwenye dimbwi la umaskini halafu kazi yake kutucheka(Naamini vile vicheko ni kwamba ndio anatucheka tulivyo wajinga kumchagua yeye kuwa rais manake akiulizwa jambo la maana anachake,hivi viongozi wengine makini wa ndani na nje ya nchi hamuwaoni walivyo?).Mtoto humrithi baba na ndicho alichorithi na kulelewa hivyo.Tukatae misingi ya uongozi bora haikubaliani na upuuzi huo.kumbukeni pia yaliyotokea umoja wa vijana ni hako katoto tena mpaka jamaa yetu huko nzega akaambiwa si raia kisa maslahi ya familia hii sijui ya kisultani kweli kama mdau mmoja alivyosema katika mada fulani humu kwenye blog.
 
Kwa vile zinahusisha resources zetu binafsi na hapa kumbuka tunazungumzia resourecs za taifa...sisi hatuna wivu na hiyo familia...tunataka taratibu zifuatwe

USISEME maneno ambayo hauwezi kutekeleza wewe unapenda kufa kweli una ulilofanya zuri au unafikiri kufa ni kuondoka duniani? kuna maisha baada ya hapo. Resource za nchi hatumii RIDHWANI yeye anatumia hela za Chama chao CCM sio masikini kama chadema wakashindwa kuwalipa kina kinana, na ridhwani ni mwana UV CCM mbona mnamyima haki yake. ACheeeeeeeni ubinafsi
 
huyu dawa yake ndogo, tunamwekea sumu kwenye K..lazma akamatike
 
Back
Top Bottom