Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

halafu hii mikutano ya ndani ya sisiemu au kapeni za shuka kwa shuka ni rushwa, kwanini wafanye kampeni sehemu za siri? eti mikutano ya ndani, ndio ile baba kaniambia ukifanya hivi u-dc, u-rc wako, au pesa ndio hizi shika kabisa., na kwenye sshuka ni.......
 
= bil 58 za kampeni zisiende mbali na familia,angalau bil 25 hivi zibaki ndani ya familia
 
The answer is ZEROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!
 
kwa muda mrefu sana watanzania walishaupiga vita usultani wa kuzaliwa hata wa kuchaguliwa. Najiuliza huu mshikamano wa familia moja kupigania utawala wa kisiasa hatima yake ni nini?

Ridhiwani na mke wa kikwete Salma, wamekuwa na nguvu kubwa sana ndani ya CCM hata makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya hawakohoi mbele yao. swali la kujiuliza hatima ya taifa letu itakuwaje huko tuendako, kwenye mikono ya hii familia ya Kikwete?

Ubovu wa jamiiforums ni uoga. Ukiandika kitu kuwaponda hayo majambazi wanaminya huku wanatudanganya kwamba ni sehemu pekee "where we dare talk freely" changa la macho tu. mminye tena comment yangu

Kundi la Kikwete na Makamba ni la kuendea porini. Watoto wao na wake zao wanaiona Tanzania kama mali zao, hawa wajinga ni kujilimbikia mali na mitandao ya kifisadi. Ridhiwani na mdogo wake Miraji ni matapeli wakubwa, huyu miraji alimuibia baba yake $60,000 kaanza kupati kama vile hana akili huku kaka yake mwenye kitambi kilichojaa upupu, yaani Ridhiwani yeye akiwa anachonga dili za EPA. Sasa hivi usibishane naye, akikuchukia umekwisha kisiasa. Huyu mtoto anaingilia hata mambo ya kitaifa yaani uongozi wa nchi na wananchi wenyewe kimya. Ridhiwani abanwe arudishe hela za EPA. Hawa watoto hawana adabu, alafu anatukana watu Ikulu utadhania yeye ndiye rais.

Mwanae makamba anayemuandikia Rais hotuba mbovu, January Makamba pia ni fisadi mwingine ambaye anachipuka. Huyu bwana ametengeneza dili nyingi mno ndani ya Ikulu. Aibu za wakina CLOUDS FM NO MORE MALARIA (Ruge Mutahaba) ni dili za january.Yeye kapata wapi uwezo wa kutoa na kuhidhinisha contracts? Wahindi kibao wamempa hela za kampeni, yeye amewapa nini? Aseme.

January ametumia njia na jina la Ikulu kujilimbikizia mali wakati kazi yenyewe hajafanya muda mrefu kuweza kukusanya mali zote alizonazo.Watanzania wamenyamaza! Wasubiri, baada ya October 31 tunaingia porini. To hell with Makamba's and kikwetes.

Nataka kujua ni mzee yupi aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi, aliyebaka watoto kibao na kuwapa mimba alafu ni kiongozi?
Ni yupi anayezalisha wanawake ovyoovyo mitaani na kuwatelekeza? Hawa kweli wanafaa kuiongoza nchi? bwana tumechoka na hili kundi la mabwenyenye, hasira zetu zimefika paaya. nina masters ya engineering lakini siwezi kusomesha watoto wangu kwa sababu mjinga fulani ameuza nchi yangu?

Baba yake Makamba amechukua ardhi kigamboni karibia hela 1000 na anawafanyisha JKT kazi akidai ni training. Hizi familia lazima tuzisimamie imara, wanapeleka nchi yetu pabaya. Kikwete, Makamba wawashike mbwa wao, Salma, Ridhiwani na January. Na yule asiyekoma kujiuza kwenye mablog, si mwingine bali Kiherehere Mwamvita Makamba.
 
Tatizo kubwa nimkuwa siasa imejitokeza zaidi kwa baadhi ya watu kama ajira safi isiyo na shida na mizengwe ambayo ipo katika kutafuta ajira. Ridhwani ni Mwanasheria na First Lady anendesha NGO ya WAMA, kwanini wasijikite katika shughuli hizo? Jibu ni kuwa katika shughuli hizo kunahitaji kujituma sana sio kama siasa ambapo unasema chochote unapigiwa makofi unafuatia ulaji. Katika siasa zetu has TZ wanasiasa hawako accountable kwa wananchi kabisa, chukua mfano wa Urais, Ubunge na hata madiwani!! By design wakishachaguliwa whether wanawakilisha au hawafanyi hivyo wanabaki kuwa waheshimiwa for five years period. Swala la kutowajibika kwa wananchi ndio mtaji muhimu sana kwa utawala ulipo sasa TZ.

Kwa hivyo ndio maana tunaona hata wanazuoni wanakimbilia katika siasa (Eazy come). Shida kubwa ni mfumo uliopo ambapo viongozi wanalazimika kuwajibika kwa Chama/Serikali na sio wananchi. Kutokana na mfumo huu wa sasa ukiwa loyal basi your in for the rest of your life kama tunavyoona sasa, ambapo kuna watu ni hopeless kabisa lakini katika Chama/serikali wanaonekama ni miungu wazuri tu. Nafikiri mmeona hata swala la mafisadi-ktk chama/serikali ni watu safi tu lakini sisi (wananchi) tunaona kabisa kuwa ni watu hopeless kwa sababu hawafanyi kazi tuliowatuma.
 
  • Salma, Ridhiwani, Miraji and Rais KIKWETE
  • Karume, barozi and Rais KARUME
  • Dr mwinyi and former Presida Ali Hassan Mwinyi
  • January Makamba and GS Makamba
  • Hapo hatujataja wanaofanyia BOT watoto wao. Lakini kwa kutojua utakuta watu wanashangilia mpaka makoo yanawakauka, wakati wanao faidika ni fa,milia fulani!
 
Mwane Rais, Ridhiwani Kikwete, amekuwa msumbufu mkubwa sana hapa Nchini. Akikuchukia basi dunia utaiona chungu. Huyu mtoto anaingilia mambo ya uendeshaji wa nchi kana kwamba yeye ndio rais. Ikulu kwenyewe yeye ni vurugu tupu, haelewani na wafanyakazi wengi; yaani kwa kifupi ni kwamba hana adabu na kitambi chake cha bia. Majuzi tu mitaani akamtukana mshikaji ovyo n kumwambia "unanijua kweli" nasikia pia aliwahi kuvuruga uchaguzi yanga na pia kuwaharibia wanasiasa wengi tu? Dawa ya huyu nyang'au ni nini, kwa maana hata ufisadi nasikia yumo. Nasikia ana nyumba ya 2Billion wakati kazi ndo juzi kaanza, hebu wadau nielewesheni anakopata ujeuri huyu mtoto, kwa maana watu wana usongo naye kweli kweli
 
Mwane Rais, Ridhiwani Kikwete, amekuwa msumbufu mkubwa sana hapa Nchini. Akikuchukia basi dunia utaiona chungu. Huyu mtoto anaingilia mambo ya uendeshaji wa nchi kana kwamba yeye ndio rais. Ikulu kwenyewe yeye ni vurugu tupu, haelewani na wafanyakazi wengi; yaani kwa kifupi ni kwamba hana adabu na kitambi chake cha bia. Majuzi tu mitaani akamtukana mshikaji ovyo n kumwambia "unanijua kweli" nasikia pia aliwahi kuvuruga uchaguzi yanga na pia kuwaharibia wanasiasa wengi tu? Dawa ya huyu nyang'au ni nini, kwa maana hata ufisadi nasikia yumo. Nasikia ana nyumba ya 2Billion wakati kazi ndo juzi kaanza, hebu wadau nielewesheni anakopata ujeuri huyu mtoto, kwa maana watu wana usongo naye kweli kweli

RAIS Kiwete si ameshawaambia kuwa urais ni suala la kifamilia? na bado tutaona mengi tu...
 
Usiumie sana; nadhani uliwahi kuumwa malaria lakini baadaye ukapona tena. Kila lenye mwanzo lina mwisho.
 
hana nguvu yoyote, ni media tu inampa mileage
 
Nguvu azitoe wapi kilaza tu huyu....mwiso wao jpili ijayo
 
Baba yake akishindwa na yeye pia kwaheri, ningekuwa mimi ndo Ridhione nisingegusa kabisa hata hapo ikulu, ningehangaika na issue zangu tu. Mkapa watoto wake na mke hawakugusa hata siku moja siasa. Walikuwa busy na NGO na Kiwira.
 
Back
Top Bottom