TAFAKARI YA LEO
Member
- Oct 23, 2010
- 15
- 16
Haka kajamaa huwa kana mtindo wa kujipaisha.. Lakini mwisho wao ni Jumapili tuu..
hana lolote huyu,tabia za kikwere tuu, akikua ataacha, dunia ya leo hiyo mitindo haipo yani. tulizoea zamani kutishiwa na watoto wa yona,kina kippi, sijui mkurugenzi wa bandari mitoto yake, but miaka hii nooop!
Baba yake akishindwa na yeye pia kwaheri, ningekuwa mimi ndo Ridhione nisingegusa kabisa hata hapo ikulu, ningehangaika na issue zangu tu. Mkapa watoto wake na mke hawakugusa hata siku moja siasa. Walikuwa busy na NGO na Kiwira.
wiki mbili zilizopita alikuwepo kule kigamboni kusuluhisha wanaccm. matokeo yake kuna mwanachama wa ccm alidungwa nondo na kuzirai mbele yake. lakini media haikuripoti. nilimwona aliyefanyiwa hiyo ishu ana bendeji.
Source: mimi[/QUOTE]
NImeipenda hii:thumb:
kikwete na chama cha kidini ccm wanaweka mahakama ya kadhi.....wanahubiri oic....viongozi ngazi za juu waislamu