Kilaza na tafasiri tu kaka bora ana akili za Kuweza kuvaa suruali zinamtosha we na ukipanga wako umekusaidia nini. USIlete manenoya luhanga Anasema yeye ndo Jiniasi akawadharau waliosoma masomo ya Arts wakiitwa Ngwini. Alipostaafu ndo akawajua umihimu wao walimpa mafao hata ya Mwl wa shule ya msiingi afadhali. watu wote sawa.
Nawewe usije kuwa Mkali wakati ulisoma Arts
Nadhani kwenye red ulikusudia MWANA JF.
Ok tukirudi kwa huyo kijana picha mbaya sana wakwere wanatengeneza na hii inakera wengi
Kwani RIDHWANI ni nani unavyojua wewe au mnachemka taja cheo chake utuambie kama nicha serikali au vipi yaani nyie mkimuona tu mnaanza kufikiri nauli anatumia ya nchi. mwacheni kagame mwenyewe nimeona kampeni anafanya na watoto wake kwani SLAA alikatazwa kufanya kampeni na watoto. Siasa ni ishu ya familia zaidi nakwambia ila kama ridhwan kashiriki serikalini ana cheo na hana sifa kwa kweli Mkwere atakua kachemka. vinginevyo mnamuonea gele
Kwani RIDHWANI ni nani unavyojua wewe au mnachemka taja cheo chake utuambie kama nicha serikali au vipi yaani nyie mkimuona tu mnaanza kufikiri nauli anatumia ya nchi. mwacheni kagame mwenyewe nimeona kampeni anafanya na watoto wake kwani SLAA alikatazwa kufanya kampeni na watoto. Siasa ni ishu ya familia zaidi nakwambia ila kama ridhwan kashiriki serikalini ana cheo na hana sifa kwa kweli Mkwere atakua kachemka. vinginevyo mnamuonea gele
Hawara yako nini mbona unamtetea mpuuzi
huo ni wivu mnaionea familia ya KIKWETE, anapenda familia yake mbona nyie shughuli zenu mnahusisha watoto wenu januari hawezi gombea msifikirie hilo. Wakwere ni watu waliopata malezi bora, huwezi linganisha na Makabila mengi yaliyojaa ubinafsi na Tamaa hata mwalimu aliyataja au tukumbushie uelewe. msitupeleke tufikirie mnadhani kuwa ni kweli
Mtoto wa JK Ridhwani amekuwa akitajwa katika matukio mbalimbali yasiyopendeza kwa Watanzania.Ametajwa kuvuruga uchaguzi Shinyanga mjini na hiyo aliyotajwa na Dr.Slaa.Maneno anayotoa kwa Dr.Slaa si ya kiungwana kwani Dr. ni mzazi wake.Sasa asiyefunzwa na mamaye huvunzwa na ulimwengu.Katika awamu zote za urais hapo TZ haijawahi kutokea familia kujihusisha na uongozi wa nchi ambayo katiba inaainisha wazi viongozi.TZ inaelekea wapi kwa hali hii?WANA JK NAOMBA MAONI YENU KWANI MIMI NIKO NJIA PANDA.
BabieWana said:Kwani RIDHWANI ni nani unavyojua wewe au mnachemka taja cheo chake utuambie kama nicha serikali au vipi yaani nyie mkimuona tu mnaanza kufikiri nauli anatumia ya nchi. mwacheni kagame mwenyewe nimeona kampeni anafanya na watoto wake kwani SLAA alikatazwa kufanya kampeni na watoto. Siasa ni ishu ya familia zaidi nakwambia ila kama ridhwan kashiriki serikalini ana cheo na hana sifa kwa kweli Mkwere atakua kachemka. vinginevyo mnamuonea gele
huyu dawa yake ndogo, tunamwekea sumu kwenye K..lazma akamatike
Mwalimu Nyerere, Alhaj A.H Mwinyi, Brother ben wote walikua na watoto na wake zao.. lakini hii familia iliyopo pale mjengoni Ferry kwa kweli tulikosea 2005, Mama nae anajiigiza kwenye siasa, Mtoto nae vurugu tupu....mama ni kiraza baba i cant believe kama kweli ni graduate kwa jinsi alinvyo hopeless sasa mtoto unategemea atakuaje? i cant wait to see them out!!! pale ferry mjengoni
Ridhwani ni Mjumbe Kamati Kuu ya UVCCM TAIFA,
Na kuna baadhi ya wajumbe wa UVCCM Tifa toka mikoani huwa wanakerwa sana na Ridhwani wakiwa kwenye vikao vyao vya ndani mpaka huwa wana muuliza hoja uliyo toa ni yake au katumwa na JK.
Hizi Njaaa za UVCCM na kuchagua viongozi wao bali tu ni viongozi ni kero sana na hii dhambi ya kuchaguana bila kuangalia malengo muhimu ya chama ni dhambi ambayo Mungu anisamehe iwasurubu mpaka mkija bumburuka mlisha kiona cha mojo.