USISEME maneno ambayo hauwezi kutekeleza wewe unapenda kufa kweli una ulilofanya zuri au unafikiri kufa ni kuondoka duniani? kuna maisha baada ya hapo. Resource za nchi hatumii RIDHWANI yeye anatumia hela za Chama chao CCM sio masikini kama chadema wakashindwa kuwalipa kina kinana, na ridhwani ni mwana UV CCM mbona mnamyima haki yake. ACheeeeeeeni ubinafsi
join date wedn novmber( jana), huyu ni rizwani hpe, jitambulishe baba ute hoja si kubwata, unaujua ubinafsi wewe? msingeigana kula nchi namna hii,fanyeni kazi acheni kutoa vitisho na kutmia resource za nchi kwa matumbo yenu! mambaladhuli nyie, kinana nae msomali unamhesabia ni mtanzania?