Rich wa BBA yuko wapi?

Rich wa BBA yuko wapi?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Jamani yuko wapi au ndo umaarufu bongo basi tena..Kuna tetesi anaonekana Moshi maeneo ya KCMC anashinda saloon asubuhi hadi jion akiulizwa vp anasema amerudi nyumbani kulima..
 
Jamani yuko wapi au ndo umaarufu bongo basi tena..Kuna tetesi anaonekana Moshi maeneo ya KCMC anashinda saloon asubuhi hadi jion akiulizwa vp anasema amerudi nyumbani kulima..

Habari za uhakika ni kwamba jamaa baada ya kusaidiwa kumaliza vile vidola alivyotoka navyo mjengoni, jamaa amekimbilia mjini Moshi ambapo amewekwa 'kinyumba' na mzungu flani maeneo ya Shanty Town.
Kuna uzi humu jukwaani ulishazungumzia hili, nikitumia PC nitakupa link.
 
Duh kweli chilli nilipata hizo habari nasikia aliwakusanya watu akawaambia anataka anasaka vipaj vya uigizaji mosh watoe kiinglio elfu 5 zilpokuwa nyngi akasepa alivyozimalza akaridi.
 
charminglady Nenda ukaulizie kwao!!! Nielekeze..
 
si alimuoaga meryl wa namibia? ikawaje tena?
 
Duh!kwan zile 100mil zake zote zimeisha au kuna investment kafungua?
 
Milioni 100 kama huna mipango ya kueleweka, mipango endelevu, hiyo sio hela kabisaaa...watanzania wengi hawajui hilo. Arusha imewa cost watu wengi sana wa mawe, wengi wako chali sasaivi wakati walishapata hela ya kufa mtu!
 
kalost wabongo wamefuraaahi.Ndo tulivyo sisi,mtu akikuona anakuchekea mimeno yote nje,huku wanakubania ulost waje kukusema jamii forums.acheni hizo,eti anashinda saluni,mbona nyi mnashinda internet cafe?
 
Weeh, Richard alienda bba akiwa na mke. Ana mke mzungu, bibie alitangaza kumtema ila alipokuja na kitita akarudisha moyo nyuma.

Mbona nimekutana nae na mkewe kwenye chobingo moja dsm few months ago? Tena malavidavi kama yale ya tatiana! Hajafulia as long as anaweza kunywa biya mjini banaa!
si alimuoaga meryl wa namibia? ikawaje tena?
 
Kanunua Mjengo wa maana pale shanty town na ana studio ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom