Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Where does the buck stop?

Who got paid? And if PAP does not own IPTL, does it mean Ndulu paid the wrong person? If you pay the wrong person, does it mean at some point you will have to pay the right person? Where is BoT going to get that money? Taxpayers money?

Ina maana Rais hakuwa na taarifa zote hizi hata kabla ya wizi huu?

Then hao wanaompa taarifa Rais wataachwa waendelee na kazi tu?

Vipi kama taarifa zote Rais alipewa? Yeye pia ataachwa aendelee na kazi pia?

Hii ni Tanzania. Kuna untouchables. Scapegoating is the norm.
 
Acha kupayuka, kwani mzungu ndio alikija kuchukua hizo pesa bank kuu, mwanasheria wa tanzania ni mzungu
 
Tuondoe tofauti zetu tuipiganie Tanzania... tusidanganywe kwa watu kujiuzuru... Tuhakikishe fedha zinarudi na iundwe mahakama maalum ya kuwahukumu wahalifu hawa in a very short period of time.

Hii ni hatari......

Umesema kweli MTAZAMO! kwano cc wazalendo tusiamke sasa tufyeke hawa mchwa? tunaanza na kiwete, wanae wote na serikali yake yote!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu anachoweza kukijua kinachoendelea nchini ikiwa kila siku yeye ni kiguu na njia? umewahi kumsikia akitia neno kuhusu ukosefu wa madawa kwenye hospitali zetu, mabilioni ya Uswiss, Wizi wa 321 billion za ESCROW au uamuzi wa wafadhili kukataa kutoa mapesa yao? Kwenye yote haya yuko kimya kabisa halafu eti ni Rais wa nchi!!! Nchi inapitia matatizo makubwa Rais kimyaaaa ila anapata wasaa wa kujibu SMS kuhusu ugonjwa wake. Dr Slaa hakukosea hata kidogo aliposema Kikwete ni janga kubwa la Taifa.
 
Wote Mnadanganywa tu na kutumiwa, mnazungushwa huku na kule kama pia, hakuna yoyote kati yenu anayeujua UKWELI, tangu lini Wazungu wakawa watetezi wa Waafrika? kama tu wakiongezewa asilimia moja ya royalty wanayolipa kwenye madini kutoka 3-4% wanagoma, iweje leo hii waje watutetee ktk hili?

Kama wanajua kwamba Viongozi wa Kiafrika pmj na wa kwetu wameiba fedha na wameficha huko kwako hasa Uingereza mbona hawasemi kitu? Mbona hawawawekei kizuizi hata cha kusafiri tu? Mbona hawazirudishi hizo fedha?

Na kama kama wao wanawapenda sana kama mnavyodhani kwa nini hawawonyeshi mikataba ya Gesi waliyoingia na Serikiali? Kwa nini wasiwawekee Serikali vikwazo vya Kiuchumi iweje iwe kwenye hili swala tu?
Ukiona wanapiga kelele ujue kuna hela yao mahali ambayo hawajaipata na wakiipata watakaa kimya na hautasikia chochote, wala nyoko, ushahidi upo wazi Maandamano ya Gesi haitoki MT yaliishia wapi? Mnajua ni nani alikuwa nyuma yake? Ni hao hao wazungu baada ya kupewa cha juu na Serikali sasa kimya hakuna cha Gesi ya Mt wala mavi ya Gesi Mtwara!

Acheni kutumiwa, hakuna kati yenu anayeujua Ukweli, ila jambo moja ni Hakika Mzungu, hajawahi, na hatowahi kumtetea ngozi nyeusi hata siku Moja ilikuwa hivyo, iko hivyo na itabakia kuwa Hivyo!

Sitakuelewa! Una maana kuwa kwa kuwa hatujui ukweli, tunyamaze kimya ili wazungu weumpe wa nje na wazungu weusi wa humu humu nchini waendelee kutuibia?
 
imebainika kuwa ripoti ya iptl ni nyeupe na wala haijakaa katika mfumo wa kumuadhibisha mtu kwa kuwa imekaa kihasibu zaidi.

Source;Gazeti la Mtanzania

lazima ikae kihasibu,ila inaonyesha kipi kililipwa wapi na usahihi wake kulingana na mkataba,sasa bunge litawajibisha waliowezesha ineligible payment.mf imeonekana overpayment kutoka Tanesco kwnd IPTL.sasa huo mpunga haukujilipa wenyewe
 
lakini na sisi watanzania tumelala sana,yani hata kuungana na kuonyesha mgomo kidogo jamani tunaishia kwenye majukwaa kulalamika?hivi tunadhani hawa wezi wanaweza kutuhurumia?
 
He could only have sought for solutions kama asingekuwa part of those problems!. Hatafuti suluhu wala kuyaongelea kwa sababu anamaslahi yake katika migogoro hiyo!. Wala si siri.

Kikwete na ccm ni mauti ya taifa.
 
Kuna kitu anachoweza kukijua kinachoendelea nchini ikiwa kila siku yeye ni kiguu na njia? umewahi kumsikia akitia neno kuhusu ukosefu wa madawa kwenye hospitali zetu, mabilioni ya Uswiss, Wizi wa 321 billion za ESCROW au uamuzi wa wafadhili kukataa kutoa mapesa yao? Kwenye yote haya yuko kimya kabisa halafu eti ni Rais wa nchi!!! Nchi inapitia matatizo makubwa Rais kimyaaaa ila anapata wasaa wa kujibu SMS kuhusu ugonjwa wake. Dr Slaa hakukokea hata kidogo aliposema Kikwete ni janga kubwa la Taifa.

Kweli Nyerere aliona mbali kuhusu uwezo wa huyu mwenzetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watz bado sana kama richmond kwenyewe EL ndie aliekuwa kinara lakini sasa ndie wanampigia chapuo! huu upuuz wote unafanyka kwa upuuz wetu.

Nilidhani mimi peke yangu ndio nina mshangao huu,,,,! Kila nikijaribu kuvuta kumbu kumbu ya watu walivyokuwa wanatokwa miPOVU kwa issue ya Richmond lkn leo watu wale wale ndio vinara wakumpigia debe mtu huyo nabaki na Maswali mengi khs watanzania hii inadhihirisha wanaosema cc tuna akili ya NYUMBU,,,,,2sad kwakweli
 
Eti Ame ni nabii?

Lord of glory I bow before you, you are a convenant keeping God!

Ame,

Nimekumbuka!

Nilisema hii vita tutashinda. Dedication and determination.

Mwenyezi Mungu atasimama nasi Daima...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Ame
if u can't fight them join them!




~~mwanza wamekula 43.bl jk hakujua?
_epa jk hakuijua?
_Richmond jk hakujua?
_diplomat bag jk hakujua?
 
Kama unaona kulipia umeme kwa siku sh 1000 wakati unakula viroba vya 3000 kwa siku si uachane na umeme uwashe koroboi,kwani umelazimishwa?

Wee nawe unatumia kiungo gani kufikiri,,,kiROBA ni ANASA umeme ni moja ya mahitaji muhimu kwenye Maisha ya mwanadamu,,,Kwahiyo ndio fomla mnayotumia kuwapandishia watu.gharama ya mahitaji muhimu eti,,kwa vile watu wanamudu kununua kiroba daah,,,,!
 
»Katiba ndio kina makonda washaitunga,wameviondoa vipengele vyote vinavyompa mpiga kura power.
»JK lionee taifa huruma,roho za watu zinaangamia kwa ajili yako,wananchi walikuchagua kiroho safi wakitegemea maisha bora lakini imekuwa kinyume.
 
Sikio la kufa halisikii dawa huko Mzee hata kidonda hakitapona tena.

Hivi ukiwa kama Wabunge hata nyinyi kamati ya Nishati na Madini, msifanye hila katika hii ripoti wakumbukeni wana mtwara, Mererani, Geita na Kahama wanaoumia kwa kwa kuzurumiwa madini yao na raslimali zao za kuwatolea umasikini.

Pia wakumbukeni wagonjwa waliolazwa Muhimbili bila dawa hapo Muhimbili huko wengine wakishangilia kwa wizi na ufisadi wa ESROW.

It is too late kuibadilisha watu tunayo mitaani. Wakiibadilisha tutatoa original copy.

Hongera Kafulila hilo ndiyo tulikutuma bungeni
 
Back
Top Bottom