Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Kama ni kweli basi hili li nchi ni la kishenzi na kati ya chama(ccm)ntaichana hadharani.
 
Bei ya umeme uniti 1= tsh.306.56/-
posho za ewura 1% = tsh. 3.07-
mchango REA 3% = tsh. 9.20/-
VAT 18% maVX = tsh. 55.18/-
tozo kila mwezi = tsh. 5,520/- (unalipa kila mwezi hata kama hujatumia)
JUmla LUKU Bei ya uniti 1 = tsh. 680/-

Kadirio la chini kabisa kwa nyumba ya familia ya watu watano walau wanahitaji uniti 1.5 kwa siku, gharama yake ni tsh.1020/- kwa siku.

Sababu ya gharama za uzalishaji umeme kuwa kubwa;
1.kila kukicha wakurugenzi wa TANESCO wanapiga dili, mfano Mhando.
2.kulipia tsh.5,520/- kila mwezi kwa ajili ya kukamilisha mikataba kama IPTL, Songas, RICHMOND, PAP, Dowans, Symbion

WANANCHI TUTAUTUA MZIGO HUU SIKU TUTAKAPOAMINI BILA CCM INAWEZEKANA, kama tutaendelea na CCM tutapigwa danadana na habari zisizo rasmi TANESCO wanaandaa DODOSO LA KUPANDISHA BEI UMEME. wakipandisha tu posho ya ewura, REA, VAT zote zitapanda kwa sababu upatikana kupitia bei itakayopandishwa na TANESCO. mfano bei ikipanda hadi kufikia 450/- mtumiaji wa umeme utalipia uniti moja kwa tsh. 927 tena hapo tsh.5,520/- ambayo unalipia kila mwezi ibaki kama ilivyo.

bila vurugu za ufisadi bei ya umeme ni tsh. 373/- kwa unit ka elfu kumi kako ungepata uniti 26.8
 
Wote Mnadanganywa tu na kutumiwa, mnazungushwa huku na kule kama pia, hakuna yoyote kati yenu anayeujua UKWELI, tangu lini Wazungu wakawa watetezi wa Waafrika? kama tu wakiongezewa asilimia moja ya royalty wanayolipa kwenye madini kutoka 3-4% wanagoma, iweje leo hii waje watutetee ktk hili?

Kama wanajua kwamba Viongozi wa Kiafrika pmj na wa kwetu wameiba fedha na wameficha huko kwako hasa Uingereza mbona hawasemi kitu? Mbona hawawawekei kizuizi hata cha kusafiri tu? Mbona hawazirudishi hizo fedha?

Na kama kama wao wanawapenda sana kama mnavyodhani kwa nini hawawonyeshi mikataba ya Gesi waliyoingia na Serikiali? Kwa nini wasiwawekee Serikali vikwazo vya Kiuchumi iweje iwe kwenye hili swala tu?
Ukiona wanapiga kelele ujue kuna hela yao mahali ambayo hawajaipata na wakiipata watakaa kimya na hautasikia chochote, wala nyoko, ushahidi upo wazi Maandamano ya Gesi haitoki MT yaliishia wapi? Mnajua ni nani alikuwa nyuma yake? Ni hao hao wazungu baada ya kupewa cha juu na Serikali sasa kimya hakuna cha Gesi ya Mt wala mavi ya Gesi Mtwara!

Acheni kutumiwa, hakuna kati yenu anayeujua Ukweli, ila jambo moja ni Hakika Mzungu, hajawahi, na hatowahi kumtetea ngozi nyeusi hata siku Moja ilikuwa hivyo, iko hivyo na itabakia kuwa Hivyo!
 
THIS IS TOO MUCH! WE DON'T HAVE A LEADERSHIP IN TANZANIA ALL ARE THIEVES! THIEVES! THIEVES! omg!

Inauma sana hasa jinsi nionavyo tra wanavyo tunanyanyasa vijitu vidogo mitaani! pooh! pooh! pooh! Corrupt gov't of Tz!
 
Bei ya umeme uniti 1= tsh.306.56/-
posho za ewura 1% = tsh. 3.07-
mchango REA 3% = tsh. 9.20/-
VAT 18% maVX = tsh. 55.18/-
tozo kila mwezi = tsh. 5,520/- (unalipa kila mwezi hata kama hujatumia)
JUmla LUKU Bei ya uniti 1 = tsh. 680/-

Kadirio la chini kabisa kwa nyumba ya familia ya watu watano walau wanahitaji uniti 1.5 kwa siku, gharama yake ni tsh.1020/- kwa siku.

Sababu ya gharama za uzalishaji umeme kuwa kubwa;
1.kila kukicha wakurugenzi wa TANESCO wanapiga dili, mfano Mhando.
2.kulipia tsh.5,520/- kila mwezi kwa ajili ya kukamilisha mikataba kama IPTL, Songas, RICHMOND, PAP, Dowans, Symbion

WANANCHI TUTAUTUA MZIGO HUU SIKU TUTAKAPOAMINI BILA CCM INAWEZEKANA, kama tutaendelea na CCM tutapigwa danadana na habari zisizo rasmi TANESCO wanaandaa DODOSO LA KUPANDISHA BEI UMEME. wakipandisha tu posho ya ewura, REA, VAT zote zitapanda kwa sababu upatikana kupitia bei itakayopandishwa na TANESCO. mfano bei ikipanda hadi kufikia 450/- mtumiaji wa umeme utalipia uniti moja kwa tsh. 927 tena hapo tsh.5,520/- ambayo unalipia kila mwezi ibaki kama ilivyo.

bila vurugu za ufisadi bei ya umeme ni tsh. 373/- kwa unit ka elfu kumi kako ungepata uniti 26.8

Brilliant thinking mkuu
 
Kuna jamaa anajaribu kubandika ati anaaambiwa no permission! tuwaombe mods watusaidie ktk hili kama kweli huyo anamaanisha.

hakuna kitu hama hicho, mifumo ya JF inajuaje kama unataka ku-upload ripoti ya IPTL? huo ni uongo tu, mtoa mada kabandika hicho kipande kwa sababu anataka ku-control mwelekeo wa mjadala, who knows labda ikija ripoti kamili hicho kipande kitamaanisha vitu vingine.
 
Yaan tamaa zingine sijui zinatoka wp aisee
Kile kimaza tibaijuka kina ngo kama utitiri aiseee halaf bado kina mitamaa tu
Kinaniudhi

hebu we tuambie tibaijuka yeye ana maamuzi gani ya kutoa fedha BOT mpaka ahongwe bilioni nzima?
 
Aipatie wp hyo sh kumi?
Plus kuna overchargea payment hapo
Mambo ya hovyo sana
Kwahiyo alikua anafanya biashara ya sandakalawe?.
hiyo overcharge si ipo humohumo au na zenyewe zilikua na account yake?
 
Jesus....Akaunti ilikuwa na bilioni 306 ......good enough hizi zilikuwa ni fedha za umma.....mbaya zaidi Tanesco inaidai IPTL bilioni 321.......hakika nawaambia....hii ngoma italeta historia mpya nchi hii.........kama bado kuna Watanzania waliobaki na chembe za uzalendo lazima tusimama pamoja sasa kuliko wakati wowote......

hata tibaijuka nae mwizi kaingiziwa bil 2.38 anasema kapewa na ndugu yake ambaye anafanya kazi tanesco ye fedha zote hizo katoa wapi kama sio wizi yaani wanagawana tu wanaona hazina mwenyewe
 
hebu we tuambie tibaijuka yeye ana maamuzi gani ya kutoa fedha BOT mpaka ahongwe bilioni nzima?
Wanasema ile ardhi waliposimika mitambo ni mali ya umma kwahiyo kwakua tibaijuka ni waziri wa ardhi alipewa mgao ili asiwafukuze.
 
hakuna kitu hama hicho, mifumo ya JF inajuaje kama unataka ku-upload ripoti ya IPTL? huo ni uongo tu, mtoa mada kabandika hicho kipande kwa sababu anataka ku-control mwelekeo wa mjadala, who knows labda ikija ripoti kamili hicho kipande kitamaanisha vitu vingine.

Mkuu'

JF maji kina kilefu. Tutaipata hiyo ambayo haijachakachuliwa.
 
Kwahiyo kumbe hela zote zilizokua escrow ni za serikali na iptl habakiwi hata na shs kumi?.

Nop..kati ya zile tshs 426 bilion...ilitakiwa IPTL irudishe tshs 321 bilioni kama over chaji au WALI ZIDISHA MNO
BEI YA UMEME MARA 3 ZAIDI YA BEI YA KAWAIDA....

So almost 75% ya hizo tshs 426 bilion ndio hizo tshs 321 bilion ZILITAKIWA ZIRUDI TANESCO....

SO TANESCO WANAIDAI IPTL 75% of billion 426..!!! = tsha 321 bilion....!!!!

So hizo pesa zingerudi tanesco toka ESCROW
ACCOUNT...!!! zilizobakia ndio IPTL wachukue...

Sasa IPTL kala dili na wakubwa ikawahonga hela za umma za tanesco na hela za umma za tanesco hazijarudi hata shilingi..na kula hela zote ..hii ni uwiziiii...ni kuwafunga hawa...!!!
 
Back
Top Bottom