Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

bado nchi hii ina wapumbabu wao ni kutetea ujinga tu unaofanywa na serikali.......na mijitu kama hiyo ni waku ogopwa kabisa.
pongezi nyingi kwa kafulila
 
»Katiba ndio kina makonda washaitunga,wameviondoa vipengele vyote vinavyompa mpiga kura power.
»JK lionee taifa huruma,roho za watu zinaangamia kwa ajili yako,wananchi walikuchagua kiroho safi wakitegemea maisha bora lakini imekuwa kinyume.
Mkuu mi naona hata wapiga kura ni maboya tu,hivi ni kweli hakuna namna ya kuikataa serikali ya CCM tofauti na katiba,Bukina wamewezaje
 
Kuhusu hiyo update, kikao cha kamati ya Nishati, haya na hizo posho za mil 3 kila mjumbe pesa za toka wapi, na wanalipwa kiasi hicho kwa walaka upi?

Haya mambo jamani kwanini watanzania tunakuwa kama mazezeta? We should take action jamani khaaa!!

hivi kwenye kamati ya madini si kuna wajumbe UKAWA?inakuwaje hapa,Mnyika ni mjembe nadhani
 
Nyambafuuuuu, halafu wanakata walimu wetu pesa za kujenga maabara uchwara.
 
Huwa najiuliza kama kila wizi mkubwa unapotokea rais hajui au hana habari, hivi tulimuweka pale ikulu kulinda nini?
 
Kama kuna ambae anaweza kunielewesha nitafurahi. Kwa tarifa zilizopo mkataba wa IPTL ulikuwa miaka 20, 1995-2015. Katika kipindi hiki mgogoro pamoja na wizi ndo vimetokea. Lakini kwa sasa tena IPTL imeongezewa miaka 20, yaani mpaka 2035. PAMOJA NA MATATIZO YOTE HAYA NANI ALIYEIONGEZEA IPTL MUDA -20 yrs more!!!!!!!!!!
Tuanzie hapa. Tuchukue hiyo IPTL iwe ya TANESCO mara moja.
 
Wee nawe unatumia kiungo gani kufikiri,,,kiROBA ni ANASA umeme ni moja ya mahitaji muhimu kwenye Maisha ya mwanadamu,,,Kwahiyo ndio fomla mnayotumia kuwapandishia watu.gharama ya mahitaji muhimu eti,,kwa vile watu wanamudu kununua kiroba daah,,,,!

sasa kama umeona viroba ni vya muhimu kuliko umeme kelele za nini?.
mwanaume mzima kuja kulialia mitandaoni eti kachajiwa elfu ya umeme inaonyesha alivyo mchelemchele.no wonder wavaa kata k wamezidi nchi hii
 
Huwa najiuliza kama kila wizi mkubwa unapotokea rais hajui au hana habari, hivi tulimuweka pale ikulu kulinda nini?
hayuko smart watu wanatumia advantage yake ya kuleta ushkaji kwa sana kumpiga....yeye kakaa tu kama bo..ya
si aliutakaga sana urais ameona sasa
 
Kama unaona kulipia umeme kwa siku sh 1000 wakati unakula viroba vya 3000 kwa siku si uachane na umeme uwashe koroboi,kwani umelazimishwa?

Yaani wewe ni bureee kabisa,,, Kweli kutetea hawa watu unahitaji kuwa na matatizo ya akili,,,
 
sasa kama umeona viroba ni vya muhimu kuliko umeme kelele za nini?.
mwanaume mzima kuja kulialia mitandaoni eti kachajiwa elfu ya umeme inaonyesha alivyo mchelemchele.no wonder wavaa kata k wamezidi nchi hii

Cjui km umenielewa nilichosema,,,,! Kiroba ni starehe ya mtu so anahiyari kununua or kuacha kutokana na bajet yake lkn umeme ni Hitaji muhimu kulinganisha hivyo vitu viwili cdhani km ni haki,,,!
 
Hivi watanzania bado tu hatujachoka na haya mauozo,hiv kwel watanzania tumeshindwa kuingia barabaran kudai pesa zetu,unafikir hii hela itarudi kwa maneno matupu bila damu kumwagika na hawa masnich kufirisiwa,NATAMAN KUCHAFUKE HTA LEO TUKOMBOE TAIFA LETU.
 
Ikiwa hii taarifa ni sahihi basi wizi huu ni wa kitaasisi na siyo wa mtu moja au watu kadhaa.

Kamati ya Nishati haina nguvu tena katika hili, kwa sababu iko chini ya PAC.
 
Huwa najiuliza kama kila wizi mkubwa unapotokea rais hajui au hana habari,
hivi tulimuweka pale ikulu kulinda nini?


1. Mwizi mkubwa wa kwanza Kikwete na familia yake. Fedha ndefu kiasi hicho lazima anataarifa

2. Mwizi mkubwa wa pili ni Kikwete na chama chake CCM- Fedha za kuhonga chaguzi nk

3. Mwizi mkubwa wa tatu ni kwete na mawaziri wake - Mikataba feki na utoroshaji maliasili

4. Mwizi mkubwa wa nne ni kikwete na viongozi wengine katika kupitisha michakato mingi ya hovyo mfano posho za bunge la katiba 300, 000 kwa siku mwalimu na familia akipewa 300, 000 kwa siku 30. nk Fedha kubwa na ndefu ikitumika kughalimia utalii wa prof huyu wa Kichina Taifa likiteketea kwa umasikini.


Katika hali kama hii ambamo kila sehemu kikwete yumo katika wizi na ufisadi usitegemee achukuwe hatua kali zaid ya

kutupiga michnga ya macho nakusema warudishe mfano majizi ya EPA ambamo kwa sehemu kubwa ni ccm.
 
Tunamalizwa pole pole 'Nani ajitokeze amfunge paka kengele?
 
Hii issue ikiondoa sura ya siasa itatuaaidia sana
 
Back
Top Bottom