Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Jesus....Akaunti ilikuwa na bilioni 306 ......good enough hizi zilikuwa ni fedha za umma.....mbaya zaidi Tanesco inaidai IPTL bilioni 321.......hakika nawaambia....hii ngoma italeta historia mpya nchi hii.........kama bado kuna Watanzania waliobaki na chembe za uzalendo lazima tusimama pamoja sasa kuliko wakati wowote......
So kifupi tun adai Bilioni 618. Je ile mitambo na asset zingine za Singa singa zinafika gahrama hiyo?
Inabidi tuchukue kile kitalu cha mafuta kufudia deni letu.
CC: Pasco
Ndugu yangu vipi Ushabadilisha maoni yako?
Last edited by a moderator: