Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
hii ndio ccm
View attachment 202771
hawa hapa chini ndio washauri wa profesa tezi dume... Kwa hiyo tutarajie wanamshauri nini prof??
Nani kawafanya hawa washauri wapate hiyo nafasi??
Nani alaumiwe, sisi watz au prof tezi dume??
Nani aliyemuweka prof tezi dume?? Umejiandikisha?? Unapiga kura?? Unakitambulisho?? Unakuwa tayari kupanga foleni?? Umechukua hatua gani kwa mahari ulipo kuleta mabadiliko?? Eti unasema wewe si mwanasiasa so mambo ya siasa waachie wanasiasa, ndio maana nao wanasiasa wanafanya yao....
haya hapa chini ndio maisha harisi ya mtanzania
nadhani tutaaamka siku tukiambiwa tumeuzwa rasmi, na ili utoke kwako nyumbani utapaswa kulipa pesa, hapo huenda ndio tutaamka na kuwa na uchungu hasa, but kwa sasa na hili litapita tu....
View attachment 202763
View attachment 202764
View attachment 202765
View attachment 202766
View attachment 202767