Django doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 1,103
- 2,587
Za sahizi binadamu wenzangu.
Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.
Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za kawaida maana ni kubwa sana.
Natanguliza shukrani.