Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

Kama ni kushusha tu hayo mafaili njia rahisi tafuta wanao download game kwenye playstation hii michezo ya kuchezea kwenye Tv, wao wanatumia Fibre za Zuku, Ttcl, Go fiber, Liquid home, n.k. hizi zinatumia mkonge hakuna kikomo cha Gb ila tatizo ni sehemu chache kuna hizo nguzo za fiber.

Ni kawaida game moja kuwa Gb 30 hadi 80, games kama 9 wanakuingizia kwa kudownload kwa elf 80 na hapo kuna mambo yao ya kukusetia accounts za game, kwa hio huenda kwa hizo gb 150 labda watakuchaji elf 10 hadi 20, ila usishangae ukipigwa 30 inatagemeana na utavoenda.

Mfano huyu yupo Mbezi Mwisho nimemkuta huko Fb
Screenshot_20230908-034534.png


Screenshot_20230908-040104.png
 
Za sahizi binadamu wenzangu.

Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.

Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za kawaida maana ni kubwa sana.

Natanguliza shukrani.
Kilimanjaro Kempinski.
 
Kama ni kushusha tu hayo mafaili njia rahisi tafuta wanaoingiza game kwenye playstation zile za kuchezea kwenye Tv, kwa kukadiria wanaweza kukichaji elf 10 hadi 30.



Ni kawaida game moja kuwa Gb 30 hadi 80, games kama 9 wanakuingizia kwa kudownload kwa elf 80 na hapo kuna mambo yao ya kukusetia accounts za game.

Ni kwamba wao wanatumia Fibre za Zuku, Ttcl, n.k. hizi zinatumia mkonge hakuna kikomo, ukilipia Mwezi unakamua unavyotaka, ila sasa ni sehemu chache kuna hizo nguzo.

Mfano huyu yupo Mbezi Mwisho nimemkuta huko Fb View attachment 2742730
Shukran mkuu acha nijaribu.
 
Za sahizi binadamu wenzangu.

Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.

Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za kawaida maana ni kubwa sana.

Natanguliza shukrani.

Mi nataka kujua una download kitu gan asante
 
Back
Top Bottom