Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 776
- 2,450
Please fanyeni hivyo. Ila tu process iwe transparent na ibarikiwe na uongozi wa JF. Marehemu inaonekana aligusa maisha ya wengi na mwitikio utakuwa mzuri tu. Mbarikiwe sana 🙏🏿Ndio, ameacha ka baby boy..
Mods wakibariki tutaweka namba.. ambayo inatumika huku nje au pia ya mdogo wake Valee.
Wala hamna shaka juu ya hilo..Please fanyeni hivyo. Ila tu process iwe transparent na ibarikiwe na uongozi wa JF. Marehemu inaonekana aligusa maisha ya wengi na mwitikio utakuwa mzuri tu. Mbarikiwe sana 🙏🏿
Mwachi, bado upo kule kwenye vimolo ama ushaondoka?Wiki moja namaliza lita tano 😂😂 kitambii kiko juu juu now
NdiyoUnataka watu wajue?
Bado nipo nipo mzeeMwachi, bado upo kule kwenye vimolo ama ushaondoka?
Hakuna kitu kinauma kama kijana kufa hasa kifo cha ghafla. Alale pema peponi
Poa👍🏼, ngoja nije Pm.
Naona kuna kufuli.
Alikuwa active sana miaka ya 2013 hadi 2017 hivi,members wapya ngumu kumfahamuR.I.P kwa Valentina,
Binafsi sikuwahi kulijua hili jina kabla Wala kuona hata comments zake humu, hakua active member?
Na mimi nitakuwepo in sha allahDuh,kumbe ni chuga.
Ntashiriki
Uongo!Tatizo letu tukichokozwa hatujui kuvumilia ila wengi hatuna roho za kukunjiana au uchoyo uchoyo,,
Mimi sio member mpya nina miaka mingi.Alikuwa active sana miaka ya 2013 hadi 2017 hivi,members wapya ngumu kumfahamu