Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,112
- 12,783
Kweli mkuu..na utani kama wotealikua mcheshi sana
Kweli mkuu..na utani kama wotealikua mcheshi sana
Pole sana kwa msiba wa mpendwa wako.Kila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
Pole sana kwa msiba wa baba watori.Kila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
Duuh polee kwa kufiwa na mume dear! Uvuke salama kipindi hiki kigumu kwako.Kila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
Pole hornetKila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
Hivi wewe una shida ganiPole sana kwa msiba wa baba watori.
Kwa hiyo nafasi sasa ipo wazi??
Pole sana kwa msiba.Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuKila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
Mungu akusaidie kipind hiki kigumuKila nikiscroll kwa simu yangu, picha yake ina appear kama updated.. bado sijaitoa nawaza tu yale aliniambia kabla hajaondoka..
Na leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises😭
R.I.P mpendwa wetu Valee. Poleni familiampendwa wetu Valee
Pole mno my dear, yatakwisha pia hayaNa leo baba watoto wangu nae kaondoka.. life is full of suprises