The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,107
- 117,831
Wewe jamaa ni weak sana,kama ni wa kiume basi ni hasara kubwa sana,Straight to ignore list.
I will not see any of your posts from here.
Huyo ndio alivyo,ukimzidia anakuja na vile vingereza vyake vya kwenye dictionary,akishindwa na hapo anarukia kuignore watu.Jamaa kani ignore nimepga kwenye mshono kaamua kula majani
Anawapotosha wenzie kumbe nayeye ni muumini mzuri kabisa na bila shaka atakuwa mtu wa kanisa au msikiti kwa maana ya sheikh au mchungajiHuyo ndio alivyo,ukimzidia anakuja na vile vingereza vyake vya kwenye dictionary,akishindwa na hapo anarukia kuignore watu.
Uncle unijuliage hali mara kwa mara
Sijaona mshono wowote hapoJamaa kani ignore nimepga kwenye mshono kaamua kula majani
🚮Anawapotosha wenzie kumbe nayeye ni muumini mzuri kabisa na bila shaka atakuwa mtu wa kanisa au msikiti kwa maana ya sheikh au mchungaji
Yupo sahihi.Anakataa anasema kuwa RIP sio religious based wish kwa maana haihusiani na Mungu na
OK pole na safari please usisahau updatesNimefika, jioni nitaelekea eneo la Tukio brother.
Nakumbuka uncle amefariki sikufuta namba, sasa baada ya miezi minne auntie akanipigia kwa namba ya uncle alafu nilikuwa nishalala nilishtuka sana na sikupokea hadi alipotuma msg ingawa nikamtafuta kesho yake nikimdanganya kuwa nilikuwa nimelala.Hakuna nyakati ngumu, kama wakati wa kufuta namba ya simu ya mmoja wa marafiki uliozoeana naye baada ya kutangulia mbele ya haki
Naanzaje kufuta mawasiliano yako sasa 🙌
I can't hold tears on this 😭😭
Pumzika kwa amani rafiki, sote ni wa mavumbini 😭😭😭😭
Umekuja na I'd nyingineSijaona mshono wowote hapo
Onyesha usahihi wakeYupo sahihi.
Marahaba mamaanguMuhimu sana Uncle. Shikamoo