Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,104
- 136,769
Huwezi leta mada ambayo wengine wanaiona ina utata
halafu ukiulizwa maswali au mtu akichangia against na wewe
useme ni personal attack......
kama hutaki kujadiliwa au kuulizwa au kupingwa peleka threads chit chat..
Mnaongelea nini kabla sijachakachua hii sredi?
ooooky! Sasa mbona ile great thinkers ndo mahsusi kwa u-serious? Na vijana wanaotaka kuji-ekspresi na kujifunza kupatafuta mimba wataenda wapi?By King'asti
Mnaongelea nini kabla sijachakachua hii sredi?
Tunaongelea kuwepo na subforum ambalo ni uchakachuzi free zone; ni full mapwenti tu na ushauri wa kujenga na si kufindishana namna ya kula tigo vizuri.
What do u think King'asti?
ooooky! Sasa mbona ile great thinkers ndo mahsusi kwa u-serious? Na vijana wanaotaka kuji-ekspresi na kujifunza kupatafuta mimba wataenda wapi?
Yes, ndicho ninachoshauri; yaani subforum ya GT as in Jukwaa la Siasa iwepo pia na MMU, mods wanachoose thread ambayo inaqualify inakuwa posted huko ambapo kuna limited no ya wachangiaji (ambao wameomba na kukidhi matakwa), huko wanatoa ushauri au maoni yao yaliyoenda shule; utani na uchakachuzi ubabaki kwenye general MMU forum na other social lounge forums!
Kwakweli mods wakizingatia haya maoni yetu jukwaa hili litapendeza sana zaidi ya hapa.
I also think so, watu watapata the most of it; leo nimesikiliza kipindi kimoja cha cloud, ambapo walikuwa wanazungumzia wakaka wanaojisifia kuwa na watoto somewhere lkn hawawatunzi.
Nafikiri hicho kipindi kilianza jana, so leo mkaka mmoja akaguswa akaona kwa maslahi ya mtoto amuomwambie mzazi mwenzake wafunge ndoa ili mtoto apate malezi yao wote. I was so touched, kuwa ushauri mzuri unaweza leta positive impact kwa maisha ya watu. With a serious subforum pia yaweza leta positive impact kwenye lives za watu.
Currently, ushauri mzuri unakuwa neutralized na matani au uchakachuzi na inahitaji nguvu na busara ya ziada kuchuja what to pick n what to leave.
Mnaongelea nini kabla sijachakachua hii sredi?
Umeona eh?
Nami nachukua fursa hii kuwaageni wa MMU. Wengine bila kuchakachua kidogo tunajihisi kama tunaichungulia mochware.
Kwaherini bandugu.
The boss unanitafutia BAN ya nguvu! Kwani kitu nikiandika lazima usome? wewe ushajua mada zangu sio endelevu si usome thread zingine? Kuna thread 100 kwa siku zote mpya!
Mimi siwezi kuandika kitu unachokitaka au unategemea niandike! Kama maisha yangu na wanaonizunguka umeona Huyapendi usisome thread zangu. Siwezi kuandika mambo ya MKE MWEMA wakati sio kweli, na siishi hivo! Sasa we ushanijua kwanini upate taabu ya kusoma na kucomment!
Mimi kuna watu nishawajua kuwa mada zao ni endelevu na mimi sio mpenda maendeleo so sisomagi thread zao hataaa! Ila najua kuna watu wanazipenda so siwezi kwenda kule kuwachafulia napita kimya kimya.
Hitimisho I POST WHAT IS IN MY LIFE! IF U DONT LIKE IT SIMPLY DONT READ MY THREADS
...tunachangia namna ya kuboresha MMU sio? sasa wewe umeingilia wapi hapa?..ukizileta MMU tutachangia hata kama kwa kuchangia tutakusababishia ban au kukuongezea stress...wewe sio unae set rules here,hata ukiweka threads sio kwamba una i own....kuna rules...na hizo rules tukiona hazifuatwi tutazungumza.....ndio MMU ilivyo...
kaka mkubwa kaongea hapa!Mimi nikutafutie wewe ban?
mbona unalazimisha nikupe umuhimu ambao hauna?
hii thread nbi ya Kaunga sio?
tunachangia namna ya kuboresha MMU sio?
sasa wewe umeingilia wapi hapa?
unless una some issues zinakusumbua....mimi niko MMU
Nazungumza threads za MMU na taratibu zake....
na watu kama wewe ambao hamtaki watu wachangie threads simply sababu
unaona watu wanakutafutia BAN....au wako tofauti na wewe
ndio tunashauri hapa ....threads za aina hiyo zipekekwe Chit chat au jukwaa la kikubwa
ukizileta MMU tutachangia hata kama kwa kuchangia tutakusababishia ban au kukuongezea stress...
wewe sio unae set rules here,hata ukiweka threads sio kwamba una i own....
kuna rules...na hizo rules tukiona hazifuatwi tutazungumza.....ndio MMU ilivyo...
The Boss I think we should focus on how re-mould MMU forum rather than taking this too far. Otherwise this will distract our motive. With all due respect buddy!
You got it all wrong, tunachoomba ni kijisubforum kama cha love connect lkn hiki ni cha serious matters tu.