Rejao Uko wapi?

Rejao Uko wapi?

Mmesema mliyotaka, lakini Sijaona bado jibu la swali la msingi : Rejao uko wapi?
 
Ww ndio mdhamin wa harusi?hv hata mie ninaeshuhudia mme wangu akikupoza hela ya kula unataka kunipiga fix shem!
Mumeo anipoze hela ya kula wakati analiliajimbo?
Mi ni pedeshee wa jiji....
 
Shem haya ni ya kweli haya? Umepost nini? Watafutaje post ya MoY bila taarifa? Hebu nitonye ukute na zangu zafutwa sian habari.... Mzim lakini?
Nimerudi hapa kwa heshima yako shem...

Kuna Mod nadhani ana undugu na Lusinde. Mi namwaga mapwenti yangu hapa ya kigriit thinka nashangaa baada ya muda wanaiondoa. Alaaniwe....

Shem sijambo, naamini pia u heri upande wako. Msalimu hommie na majirani.

Baada ya kusema hayo naendelea na mgomo wangu. Mkiona kimya kimezidi mnitumie PM, msije mkadhani nimeRIP..... Sina mpango huo kwa sasa hasa wakati huu TBL/SBL wameongeza uzalishaji wa biya. Nitakuwa Ki-PM zaidi.

Kwaherini watoto.
 
quote_icon.png
By Asprin
Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?

Joshuashangwe.jpg



huyo jamaa wa kulia siku zake za ubunge zinahesabika!!! Namuonea sana huruma!!
Hayawi hayawi sasa yamekuwaaaaaaaaaaaaaaa
 
quote_icon.png
By Asprin
Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?

Joshuashangwe.jpg




Hayawi hayawi sasa yamekuwaaaaaaaaaaaaaaa

Subiri uone matunda ya uamuzi wa jaji wenu. Mtajuta kununua punda kwa bei ya farasi.
 
Subiri uone matunda ya uamuzi wa jaji wenu. Mtajuta kununua punda kwa bei ya farasi.
Mmeshaishiwa sera tayari. Hamna tena makali. Lema arudi tu kwenye biashara zake, siasa haiwezi
 
Back
Top Bottom