Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #481
Sisi hatuna tatizo..lengo la mahakamani ni kuwaonyesha kuwa ile kashfa haikuwa kweli maana tukikaa kimya mtawadanganya watanzania kuwa ni kweli....na kama mkikataa pia hatuna tatizo kwa kuwa tutamrudisha mbunge tunayemtaka.....We tulia uone peoples Power ilivyo.....Hivi kumbe kesho ndio mnaenda kulia lia mahakamani??
Tena kumbuka Arusha mjini ni mama wa Arumeru...lol huku moto wake hamuuwezi Rejao....
BTW:Salamu zangu kwa Cantalisia