Tabora yetu
Senior Member
- Sep 13, 2014
- 139
- 21
gombea wewe urais kupitia hilo kabila lako
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Na hii itakuwa faida kubwa kwa Amani ya nchi. Watu kama ninyi kuwa Raia wa Tanzania ni hasara kubwa.
Nchi sio idadi tu ya watu, quality ya watu wenyewe in matter sana.
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Kabla hujaukana huo uraia kuna faida gani imepatikana? Acha kuukana tuu, jiue
Wachagga mmesahau Mbowe alipogombea na Kikwete? alibwagwa kwa kura ngapi?
Uchaguzi uliofata hakurudi tena.
Na safari hii mwekeni tena mchagga agombee tupate njia ya mkato.
Hivi safari hii mtamuweka Mbowe agombee? kwi kwi kwi kwi.
Kwanza vigezo vipya vya mpaka awe na degree hajatimiza.
Hongera sana umejiepusha na mengi.Nisome tena, Mtaani kwangu hakuna mchagga.
Tunamzungumzia Mengi,
Acha kuota waume wa wenyewe!
Pumba kabisa hii. UlitarajiA mshindi atoke upinzani.? Chadema ilkuwa inawafuAsi kama sisiemu.?
Walikuwa wana wafadhili kama cc.?wanawake si mlimtaka hendisam wenu.?
[h=2]No one is born hating another person because of the colour of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.[/h][h=5]No one is born hating another person because of the colour of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.[/h][h=5]~ Nelson Mandela from Long Walk to Freedom, 1994[/h]Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Haittokea siku hiyo katika uhai wangu, kubuka hilo.
Kwanza uchaguzi ujao mtamsimamisha nani? Mbowe? ana vigezo?