Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,256
huwa ukindika thread mia moja tu ndio ya ukweli
Akiandika thread mia moja tu ndio ya kweli.... na za uongo ngapi mkuu?
huwa ukindika thread mia moja tu ndio ya ukweli
ndugu hawa jamaa nawaamini sana kila mahali walipo kuna mabadiliko hata ya makzi ukitembelea maeneo mengi utaona kila waliko kuna mabadiliko ni watu waliwahi kuona mbali zaidi so tusibaguaneHakuna hatred hapo, ni ukweli tu, hawafai kuwa viongozi wa nchi wataiharibu.
Machagga akigombea hata wachagga wenzake hawampi kura, huo ndiyo ukweli, wanajijuwa.
Hakuna hatred hapo, ni ukweli tu, hawafai kuwa viongozi wa nchi wataiharibu.
Machagga akigombea hata wachagga wenzake hawampi kura, huo ndiyo ukweli, wanajijuwa.
Ni haki yake kugombea,lakini siasa na uongozi wa nchi siyo fani yake.
Vyema akabaki ktk biashara,huko atafaulu zaidi.
Mchaga akigombea nini wenzake hawampi? Hivi Mrema kule Vunjo alichaguliwa na Wakwere?
Hakuna hatred hapo, ni ukweli tu, hawafai kuwa viongozi wa nchi wataiharibu.
Machagga akigombea hata wachagga wenzake hawampi kura, huo ndiyo ukweli, wanajijuwa.
Huyu anadhalilisha hata CCM ambayo anajidai kuitetea kinafiki hapa Jukwaani.Muasisi wa Taifa letu,Mwl.Nyerere huko aliko analia sana kuona eti hawa ndio watetezi wa chama alichokianzisha.Huyu bibi ni wakupuuzwa,hivi kuna post hata moja ambayo ameshaact on the best interest of her country?cjawah ona,ni hasara kuwa na watu wenye fikra mgando kama huyu Faiza,au unajisikia raha unavyoona unatajwatajwa?Umaarufu uko pande mbili,fanya jambo zuri sana watu watakutambua au vurunda totally pia utakuwa maarufu.Naona huyu mwanamke kachagua kuwa maarufu kwa kupigia debe mambo mabaya ndani ya nchi hii,umefanikiwa kwa hilo.
Unawadhalilisha wanawake wenzako ambao wanajaribu kuonesha kuwa wanawake nao wanawea leta changamoto kwenye gurudumu la maendeleo.Subiri kupanua mapaja watu wajae upate kupeleka mkono kinywani kuliko hivi,shame on u.
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Hebu tupe DATA za hawa jamaa,manake wamezagaa Tanzania nzima,mpaka vijijini ndanindani porini.Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Hebu tupe DATA za hawa jamaa,manake wamezagaa Tanzania nzima,mpaka vijijini ndanindani porini.
Ndiyo maana Mchagga hakubaliki kuiongoza Tanzania?
Humkumbuki mama'ke Yesu?
Nchi hii imeanza kuzungumza suala la UKABILA?! Ni wazi kwamba sasa hatuko salama. Hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi, kwa sababu huleta chuki hata kwa ndugu wa damu.
Ova
Ila wana historia na mifumo ya utawala kwa karne nyingi.Naam, hilo wanaliweza sana lakini kuongoza nchi hawakubaliki.
Humkumbuki mama'ke Yesu?
Ila wana historia na mifumo ya utawala kwa karne nyingi.
Kwa mfano,Mangi.
Hivi ukanda wa pwani/Zanzibar walishakuwa na mtemi yeyote?