Hii ingekuwa ni physical forum na tunafahamiana ningekupeleka mahakamani kwa defamation. Hali ilikuwaje wakati Rehema Mwakangale (RIP) alipofariki? Nina ushahidi kuhusu kutimiza ahadi zake. Jaribu kuangalia annual reports za ngos anazozihaidi kama utakuta Mengi au IPP media kwenye audited reports - nyingi ziko online. Ma - PR wengi ni waandishi wa habari na wamefanya kazi kwa Mengi na wanapohamia kwenye ofisi nyingine wanasema ndugu! Pia ni wazuri sana kwa vibahasha! Kwa nini wanamwibia sana bwana Mengi mpaka uwa anatishia kufunga biashara ya vyombo vya habari?
Halafu hizo motivations wanazopata wafanyakazi wa Mengi ambazo zinazidi wafanyakazi wengine wote Tanzania ni zipi na ni kiasi gani? Au ndio zile za party ya mwaka mpya inayoandaliwa na akina Joyce Mhavile na kuziweka kwenye television?
Kwa kawaida mwenye uwezo mdogo wa kufikiri anafikiri yeye ana-think big, anatoa matusi, hatoi mifano, wala haombi mifano ili kuona kama kuna ukweli au vipi. Kwa kifupi mimi simwamini mungu bali namwamini Mungu (herufi ya kwanza ni capital).
Nakutakia kila kheri katika maisha yako hapa duniani kwani sina namna ya kukubalisha jinsi ulivyo mpaka hapo utakapopata usingizi wa amani!!!!
Mkuu mi naona kama unapenda taarifa za chinichini na unazifanyia conclusion vile unavyoona inafaa. Hater na gossip mongers wapo kila sehemu mkuu. It's obvious Migogoro na wizi katika maeneo ya kazi yaPO kila mahala hata kwenye mtaa unaoishi. Mengi hayuko pale kugawa pesa Bali kufanya biashara. Nina uhakika kuwa kama mambo yake ni mabaya asingejijengea heshima aliyonayo. Pesa sio kila kitu.
Mikataba ndio kitu kinawafunga watu kwenye ajira. Unapokuja na hoja kuwa eti halipi kodi ama hawalipi wafanyakazi wake vizuri. Kama kulipa kodi ingekuwa ni maendeleo nadhani tanzania tusingekuwa na hao wakwepa kodi. Exemption za nini? Jaribu kujiuliza ni Rais gani nchini alishinda uchaguzi kwa kuwa ni mwadilifu kuliko mengi kwa vigezo ulivyotaja na jaribu kuweka asilimia UA jao marais kama inazidi nusu?
Kisha jiulize je uadilifu wa mtu ndio kigezo cha MTU kushinda urais?
Binafsi nina amini mengi kama mengi hafai kazi ya urais hata yeye aliwahi kukataa alipoulizwa kama anaitaka urais. Binafsi Naamini hafai kwa sababu nyingine za kijamii zaidi lakini sio hizo za kwako za kukwepa kodi. In fact sijui ni kiongozi gani wa CCM anayelipa kodi kihalali kwenye biashara yake hapa nchini mpaka sasa.you tell me?
Maoni yako nayachukulia kama maoni ya MTU anayetengeneza hoja za Kumchafua bwana mengi.
Kwa hofu zisizo na ukweli.
Na hii ni dalili kuwa hapa unawananga hata hao Takukuru kwa kushindwa kuonyesha ufanisi dhidi ya bwana Mengi.
Kumbuka mengi is just a businesman, sio waziri, mbunge wala rais.
Kuna kitu wanaita public relations. (PR). Hiki ki afanyika kimalengo kama sehemu ya promotion. Kutoa msaada sio kwamba unahela ya kuchezea na kuwapa wafanyakazi wako bali inaweza kuwa njia ya kujijengea heshima kupitia biashara katika jamii.
Nakishauri uwe unaangalia na uhalisia wa mada kabla hujatamka kauli zako. Ambazo unazitoa very sensitive. As if we are dealing with real situation.