Huu ndio ukweli wenyeweUrais wa wenye viwanda?
Huu ndio ukweli wenyeweUrais wa wenye viwanda?
Mimi ni mchaga ila mengi ana sifa za kuwa rais cha msingi aendelee kuwa rais wa vikoba na wengineo au anataka kulipiza kisasi kwa akina muhongo aah kajilogaa teeh tethh😂
Mashaullah,kumbe ma mwinyi ndio walikuwa viongozi??.Basi kheri.Mtemi wa nini? Huku ni Maminywi, ndiyo maana miji yetu huku ni "Bwagamoyo", "Dar Es Salaam", utemi wa nini? Watu wako burdaan wa sharaba.
Mtaani kwangu hakuna mchagga kabisa tena.
Hivi mama'ko Yesu ali olewa na Josefu akiwa na miaka mingapi? Na alipozaa kimiujiza alikuwa na miaka mingapi?
Na hizo ndiyo sababu kuwa Mchagga hakubaliki kuiongoza Tanzania?
Nilivyokuelewa kwa muunganiko wa haya maneno umemsifia sana yaani mia moja.huwa ukindika thread mia moja tu ndio ya ukweli
Achilia mbali kuongeza vizuri hata adabu na nidhamu hana kuchezea watoto wa wazee wezake kawaida sana tu ndiyo maana kaoa mtoto mdogo.Hajui hata kuongea vzuuuri huyu jamaaa
Mengi akigombea kuwa Rais wa mafisadi hapo ntamwelewa lakini siyo kuwaongoza watanzania wakati ananuka ufisadi.
Yeye anadhani kwa ufisadi wake ataweza kuwanunua watu wote ujue mengi akili yake ya kawaida sana.Kwa tiketi ya ccm labda si UKAWA! Shughuli itakuwa kali maana huyu mzee hana magnetic public speaking.Kama kweli ana nia afanye crash course ya public speaking!
Kafisadi vitaru vya madini,kafisadi watumishi wake,kafisadi DTV,kafisadi wasichana wadogo,anafanya biashara haramu,mkwepa kodi,alitaka kufisadi vitaru vya gesi na mengine mengi tu.Orodhesha ufisadi wa Mengi ukiwa na uthibitisho tofauti na kufanya hivyo wewe utakuwa lile kundi linalomtetea Frofessor NJAA.
Kwanini asigombee ukawa wakati yeye mchaga?Kwa tiketi ya ccm labda si UKAWA! Shughuli itakuwa kali maana huyu mzee hana magnetic public speaking.Kama kweli ana nia afanye crash course ya public speaking!
Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.
Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.
BY: SUPU YA MAWE