Reginald Mengi kugombea Urais

Reginald Mengi kugombea Urais

Kwani ww bado raia? Katiba ya Tanzania haiwatambui ninyi diaspora mliozamia na kuolewa/kuoa vibabu/vibibi ili mpate kuishi huko:A S wink::A S wink:

naona umepandwa na hasira baada ya kupewa za uso
 
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Duuh, mimi mwanzoni nilidhani wewe ni MDINI tu, kumbe na kwenye ukabila upo? Angalia siku moja usije ukajikuta "The Hegue", ktk mahakama za "gachacha" au "Arusha".
 
Huyu mzee anafaa, na isitoshe tunaitaji mtendaji na si watu wa bla bla, mafisadi kwisha
 
Ila kiukweli, Mengi hana mvuto. Angeendelea na biashara. Huko atachafua jina lake tu.
 
Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.

Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.

Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.

BY: SUPU YA MAWE

Mbona mkakati alianza siku nyingi alipoona ccm hatapita na hata vyama vingine hatapia akamnunua mtikila kujenga hoja ya mgombea binafsi.ili kujiweka sawa kila forums hapa nchini alijiingiza na kuteuliwa ama mwenyekiti au rais.hakuishia hapa alikaribisha mabalozi mbalimbali ili kujijengea mahusiano.huyu ndiye mengi abraham.
 
Last edited by a moderator:
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.

wewe si mfia dini!!!! sasa mbona unaidhalilisha imani yako? tuna pata picha gani sisi tunao vutiwa na imani yako..kila siku ni kujenga chuki"

Ninge kuona msomi au mtu mwenye busara, kama unge nkosoa Mengi personal.. .
Racism is taught in our society,
it is not automatic. It is learned behavior toward persons with dissimilar physical characteristics.
 
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.

We mwongo......na watu wenye akili kama yako hawapaswi kuwa raia nchi hii in first place
 
Mengi anaweza kuwa Silvio Berlasconi wa Tanzania. Wana sifa za aina moja. Wafanyabiashara wajanjawajanja, wakwepa kodi wazuri, wamiliki wa vyombo vingi vya habari, hutumia vyombo hivyo kuwamaliza maadui zao, wanapenda kulilia huruma ya wananchi, wametariki wake zao wa mwanzo, wanapenda vimwana, wanaona umri sawa na wajukuu zao.
Hayo ni machache tu
 
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.

Na hii itakuwa faida kubwa kwa Amani ya nchi. Watu kama ninyi kuwa Raia wa Tanzania ni hasara kubwa.
Nchi sio idadi tu ya watu, quality ya watu wenyewe in matter sana.
 
Back
Top Bottom