Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Hata kama..usijifanye kumfahamu sana Regina...ni mke gani ambaye hajapitia changamoto za ndoa..
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mwanamke shupavu atabaki kuwa Josephine kapigwa mabomu mpaka mimba imeharibika huyu Regina na Chadema wapi na wapi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hongera sana Regina Lowassa.Mungu akutangulie.Mwenye wasifu wa huyu mama naomba aweke humu tupate kumfahamu zaidi.
 
mama ni mama kweli mama lowassa umenivutia hunatofauti na mama yangu mungu akupe kila la kheri utakuwa mama bora wa watanzania wote
 
Hakika Mama Reggie, amekuwa nguzo muhimu.

Ametimiza andiko nitakupa msaadizi ...

Hongera mama, Mungu awatangulie .
 
Nidhamu iwepo pale unapochangia mjadala na usifananishe mjadala wa humu na kundi la wavuta bangi!

We nguchiro tukuvishe wewe izo shanga kama unaona ni kitu cha ajabu huku chuga zipo nyingi tu za kimasai.
 
Kwan kuna cha ajabu hapo c niurembo huku rchuga zinauzwa nyingi tu .

Hembu Jiheshmu Na Umuheshmu Kama Una Muheshimu Mama Yako,hv Mama Ako Ulishawah Kumwambia Hvo?Cjui Vijana Cku Hz Tumekumbwa Na Nn?
 
mama regina heshima yako mama yetu.tunakupenda sana mama yetu.

tuko bega kwa bega na wew mama mpaka uwe first lady wetu.hongera sana kw juhudi na ujasiri wakoj.bigup kwn wewe ni mama afrika tena ni mfano wA kuigwa

Dah! Hapo kwenye "MAMA AFRICA"sikufichi pamenitoa machozi. Huyu mama namkubali sana.
 
Ndo maana kinana alimshika ziwa yule mama sijui mkuu wa mkoa wa wapi sijui, mke wake anamficha ndani au mmewahi kumwona akiongozana nae???
 
Kwan kuna cha ajabu hapo c niurembo huku rchuga zinauzwa nyingi tu .

hakuna ajabu ikiwa inauzwa na ndio maana hata chupi zinawekwa wazi madukani. lakini zikivaliwa na mtu then akazionyesha hadharani unajua nini kinachotokea. vivyo hivyo applicable kwa shanga au wewe dadako anakuonyesha shanga zake akiwa amezivaa?
 
Back
Top Bottom