Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Nampenda sana huyu mama hasa anapocheka.
Nani kakuambia ni mmasai? Unajifanya unamjua saaaanaaaa!Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Swala ni kuwa kaolewa na mmasai ambaye kwake mwanamke ni daraja la 10 awe mmasai au asiwe masai
Eti Josephine alitaka u first lady!!!! mfyuuuuuu1st Lady mtarajiwa
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.
Ndoa ina mambo yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
...nadhani viongozi wengine wana cha kujifunza....haswa dr.Slaa na mkewe Mshumbusi anayemfungia ndani kumzuia asifanye maamuzi....watu huwa wanashindwa kujiuliza kwanini Lowassa anafanikiwa (kama wasemavyo kuwa ana mapesa meengi)....watu wanasahau kuwa kwa kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake yuko mwanamke....hata JK muulizeni...anamheshimu sana Salma...Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.
Ndoa ina mambo yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam