Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
nakumbuka alikuwa akifundisha Ilboru, michepuo ya PCM
Kumbe kichwa duh!
nakumbuka alikuwa akifundisha Ilboru, michepuo ya PCM
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.
Ndoa ina mambo yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Jembe Mussa Allan
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Mzee wangu angalia nisije nikamwambia Mama...:thinking:
Hongera kwa kumpa sifa zake,kuna mtu aliniambia pia ni Mama mwema mwenye kujitambua.
Cha msingi,Mzee wangu Umepata KURA YA MAONI?Jimbo gani?Au Umekatwa?
Yote tisa kumi tuambie Mbona meli inaendelea kutobolewa?Matundu hayo Nahodha wa Meli yetu haoni kama tunazama?Halafu namna anavyoziba hayo matundu naona kama anayaongeza ukubwa wake?
Tueleze wanachama wa huku mtaa wa kati yaani wale wanaopenda kutafuna UBUYU wakati wote,huko vipi mbona hatuelewi hapo ndiyo mwisho wa lami au bado inaendelea?Maana kuna mzinga wa muamba hapo mbele,nahodha ameuona?
Nipo mtaa wa kati nafuatilia kama nijiandae kuwa Campign Manager wako maana kwa Mtanio kesha tupwa mbali sana....
Regina mama yetu. Tunakuheshimu sana.
Mwanamke shupavu atabaki kuwa Josephine kapigwa mabomu mpaka mimba imeharibika huyu Regina na Chadema wapi na wapi.
Labda zamani enzi za wazazi wako sio sasa alooo
Siyo sahihi tu, bali pia maamuzi MAGUMU.
,bado sana meli kuzama tena sana,
mwaka huu baada ya wahuni kuonekana wamekamia ikulu kama vile ni kwenda mbinguni ,wenye akili zao wanajua nani anastahili kuongoza nchi genge la wahuni na wazee wa kubwabwaja hili hali wasijue wanachokiongea wasomi wanaona kama ni aibu kwa wasomi wa nchi hii kamwe shanwe wajinga haizitasaidia ,