Kweli nimeamini kilicho chema hakina maisha. Regia tutakukumbuka kwa mchango wako mkubwa wa kutaka kulikomboa taifa hili. Mungu awajaze nguvu wale wote waliofikwa na msiba huu. Raha ya milele umpe Eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, astarehe kwa amani. Amen. Vigumu sana kuamini
nimefungua Jf nikabaki nimeduwaa tu kuangalia picha zake ni machozi tu. bandiko lake la kukusanya maoni naomba mood uya compile mawazo ya wadau then yakabidhiwe kwa katibu mkuu dr slaa kwa utekelezaji.
Gari ya Mh. Regia Mtema, kama inavyoonekana mara baada ya Ajali...Eeeh Mwenyezi Mungu, ipokee roho ya Mtumishi wako na Kamanda wetu Regia Mtema...RIP Mtema Regia..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.