Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Kila ninapokuwa safari kwa njia ya barabara eneo la Chalinze-Dsm unifanya kuwaza mambo mengi kuhusu vipaumbele vya watawala wetu. Barabara nyembamba,iliyojaa malori,na magari mengine. Malori yamejaa kwasababu tumeua reli. Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
 
Jf tupo kwenye maombolezo makubwa kabisa kuwahi kutokea'ningekuwa mods leo na kesho ningesimamisha thread zote zibakie za mpendwa wetu Regia!
 
Wana JF wote nawapa pole kwa msiba mkubwa uliotupa. Farijianeni kila mmoja kwa maneno haya:

While we are mourning the loss of our friend, others are rejoicing to meet him behind the veil

Oh heart, if one should say to you that the soul perishes like the body, answer that the flower withers, but the seed remains

Life is eternal, and love is immortal, and death is only a horizon; and a horizon is nothing save the limit of our sight

For death is no more than a turning of us over from time to eternity

In a time of loss like this, all we can say is how sorry we are and how much we love her.

“Please accept my heartfelt condolences”
 
Sikuwahi kumjua Regia binafsi, sikuwahi kukutana naye, na wala sikuwahi kuongea naye, lakini nilipenda uwezo wake wa kujenga hoja, nilipenda alivyokuwa na nia ya dhati kuwatetea wanyonge wa nchi hii, nilipenda mtizamo wake kwenye mambo ya taifa letu. She has gone too soon, but she lived her life well; A life well lived is a life to be treasured; we mourn your death since you have gone too soon, but we also celebrate your life Regia, we will remember you... May your soul rest in eternal peace Regia.
 
Watu wengine mnachekesha, kazi ya Mungu haikosolewi. Ulitaka nani aende kwa niaba yake wakati kwake imetimia? Mnayoyaona yemetimia. Ni new iliyothibitishwa mpaka kuwekwa kama heading YAMETIMIA.

Bwana ametoa na bwana ametwaa, atabaki kuwa Mungu jina lake limihidiwe.

AMEN
 
Ni kweli kabisa kwamba hadi mda huu haija patikana picha yake?
Sio wote tutakaopata wasaa kwenda kuuaga mwili wake.

Nimeona josephine anadai kaweka facebook,...ina husu nini kutoweka hapa picha?
 
383168_10150478150787276_695827275_8754052_330585724_n.jpg

380870_276552419072896_100001544216110_747426_1869970987_n.jpg


17456_284697317275_695827275_3273142_3059808_n.jpg



165698_500501657275_695827275_6036979_5793333_n.jpg



R.I.P

Nakumbuka hii kauli yako:

R I PArray


Join Date : 21st November 2009
Posts : 3,061
Rep Power : 956


icon1.png
Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA


Wakuu,

Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu. Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu. Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu, hivyo kuipeperusha bendera ya CHADEMA katika jimbo hili.

Nimeandika historia kwa kuwa kijana wa kwanza kugombea kwenye jimbo hili tangu kurudi kwa mfumo wa vyama vingi kwa vyama vyote vilivyowahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye jimbo hili. Ni mtaji kwangu..

Tuko pamoja...Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani. Ni jimbo moja la Mkoani, Wilaya yenye jimbo moja.. Zaidi ya hapo usiniulize.

Alunta continua
Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

 
Ni pigo na pengo lisilozibika,
Natoa pole zangu binafsi na familia kwa ninyi nyoote na jamaa wa marehemu.
Amen.

HIZI AJALI hizi?!!
Mkuu hapo penye kuhusu ajali, ni kweli hizi barabara zetu unahitaji uangalifu wa hali ya juu especially on long trips, na madereva wa big tucks, mabasi na semi trailers...

Nimeendesha hizo bara bara na unatakiwa kuwa makini all the time...Huo ni upande mmoja.

Upande wa pili, ni kwamba sintoweza kusema mengi kwasababu bado tuko msibani, lakini otherwise ningekuwa na maswali mawili matatu ie je hilo gari lilikuwa well equiped for a person with disability to personally drive? Tatizo hilo linaweza kuwa kubwa zaidi kama ni a long trip.

Pili uamuzi wa kuendesha mwenyewe ulikwa mzuri? Je angekodi dereva kama wa kwake alikuwa na matatizo?

So unaweza kuona kuwa inaweza kuwa a combination of factors, tegemea na aina ya ajali, lakini mojawapo ya factors ni barabara na madereva wengine waendesha hovyo, pia sometimes maamuzi yetu sisi wenyewe.
 
Ndugu kun uzi umefunguliwa tangia saa tano wa kifo cha regia. Pls tembelea jukwaa la siasa utaiona hiyo thread, nadhan hadi sasa wachangiaji zaid mia 5 wamechangia. Plse mod onganisha hii kitu
 
Ni kweli kabisa kwamba hadi mda huu haija patikana picha yake?
Sio wote tutakaopata wasaa kwenda kuuaga mwili wake.

Nimeona josephine anadai kaweka facebook,...ina husu nini kutoweka hapa picha?

naomba mnisamehe natumia simu na sioni option ya kuapload picha hapa JF.ila tumeuhifadhi mwili Muhimbili,tunaelekea nyumbani kwenye msiba nyumbani kwa baba yake,Tabata Changombe,barakuda.
 
naomba mnisamehe natumia simu na sioni option ya kuapload picha hapa JF.ila tumeuhifadhi mwili Muhimbili,tunaelekea nyumbani kwenye msiba nyumbani kwa baba yake,Tabata Changombe,barakuda.

Facebook unatumia jina gani nika iangalie?
 
Kwa kweli nimeshtushwa,nimesikitishwa, nitakukumbuka sana dada yangu mpiganaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom