sio sahihi hata kidogo,,,,,,nenda mbele urudi nyuma sisi bado ni ndugu tena watanganyikarip mpendwa regia......ni bora wafe wabunge 10 wa ccm kuliko mmoja wa chadema
Ni pigo kwa Chadema...Mungu ailaze roho yake mahali pema..Amina
ajali ilitoke
aje? Aligongana na gari nyingine?
Aisee!laiti mwanadamu angeijua kesho yake,Regi asingetia mguu kuendesha gari leo!Pumzika kwa amani dada Regie
Naona dady unaanza kuwa Tomaso...Pole na msiba.Kwa jinsi nilivyoitazama picha ya hiyo gari, naona kwamba imepinduka, haikugongana na nyingine kama ilivyokuwa imeripotiwa awali.