Ajali za barabarani......ajali za barabarani.....ni uzembe? ni maandiko? au ni ajali?
Hizi ajali zinatumaliza kama kimbunga/ tornado inavyofyeka kijiji, mji.
Wafiwa poleni sana
Regia umerudi kwa bwana. Upumzike kwa amani.
Tunaoomboleza na sote kwa ujumla ni lazima ifike mahali tuseme Ajali nyingi ni matukio ya uzembe na tuchukue hatua kuepuka vifo kwa njia hii.
Barabara zetu zimekuwa kama machinjio ya kuku. Zitatumaliza.