Sitaki kuamini hii habari, Regia huyu wa JF, juzi juzi aliweka uzi wa kero za wananchi hapa jamvini, jamani
Hii gari ni balaa,haifai kabisa kujifundishia hasa huku mkono mmoja unapost kwenye JF.Baadhi ya kampuni za bima wanakwepa kuziwekea bima kwa vile uwezekano wa ajali ni mkubwa.Gari alilokuwa akiendesha Mwenyewe(Land Cruise)HZJ 100 alilolonunua Locus kwa mkopo wa Bunge ndo alilopata nalo ajali,Leo alimuacha Dereva wake na kujaribu kuliendesha mwenyewe.RIP regia