Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
ndo naskia apa. Nimeishiwa nguvu aisee ni juzi alikuwa akitueleza mafanikio yake akiwa mbunge. Imeniuma sana. RIP REGIA
 
Ooh God, Yaani.... mimi nimeumia sana, maana si uongo kuna kitu nilitaka kumwambia huyu marehemu.... Mungu akulaze mahali pema poponi ameni.
 
Mungu wangu weeeeee,da inaniuma sana na machozi yananitoka kwani juzi tu dada kaleta uzi wake tukaanza kuuchangia na kumpa ushauri mbalimbali,RIP hon Regia
 
Kifo cha gafla kinauma sana,nawapa pole familia ya Regia Mtema, pamoja na Chadema na members wote wa Jf.
 
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA Mh.Regia mtema amefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea Ruvu darajani.Poleni makamanda.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina.source Brekn news radio one.
 
0084.gif




ngumu kuamini , ngumu kusema ila wengi watakosa busara zako ..
Hapa jamvini utakumbukwa milele.. Mwenyeenzi Mungu
ailaze roho yako mahali pema peponi.
Pigo kubwa kwa taifa letu.


 
Mkuu Filipo.

Wewe alikupa like mbili tu mwenzako kanimwagia malike kibao.Duh wakati mwingine ukiyafikiria maisha unashindwa kuelewa kwanini Mungu katuumba.Mheshimiwa Regia ni mmoja ya wabunge vijana walionyesha njia hakika CDM na taifa limeondokewa na mwanamapinduzi mkubwa.


Duh!? Inakuwa ngumu kuingia akilini. Machozi yananilenga. Juzi amenipa like mbili! Duh!

RIP dada'angu Regia. Tulipambana pamoja na mapambano tutayaendeleza hadi kieleweke!

Poleni watu wa Kilombero. Mmepoteza jembe! Poleni cdm.

Basi bana, siwezi kusema tena!
 
Poleni wafiwa,Dada Regia tutakukumbuka daima kwa kupigania Haki za wanyonge.
 
alikuwa anaovertake gali lingine. alikuwa anaendesha gari aina ya Landcruser t296bfm ambalo ni mali yake. gari imepinduka mala tatu.
hakugongana na mtu mwingine bali alishindwa kuicontrol gari na kuingia polini. majeruhi wengine waliokuwa kwenye gari akiwemo mama yake mzazi ni;
:roger abdallah
😛aulina
:simon
:bernedeta
😛eter
raurence. wa saba hajajulikana jina. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. amina.
source itv. Mia

Verry sad!Japo kifo hakiepukiki lakini nimeshangazwa na yeye kuendesha gari huku ni Mlemavu wa mguu.WanaJF nisaidieni hiyo gari yake ilikuwa maalum kwa walemavu?
 
Wazuri hawadumu Mungu apumzishe mahala pema peponi! Hope tutakutana naye, maana njia yetu ni moja lakini kutangulia kunaumiza walio baki! Pigo kubwa ka CDM!
 
chadema pale kilombero wekeni mtu wa kumrith haraka sana'Regia angechukua jimbo lile 2015'tukaze mwendo na maisha yaendelee mbele kwa kuwa Mungu yuko upande wetu
 
am i crying?somebody give me some tissue,.it's confirmed..we lost a sister and mother lost a daughter.
 
We acha kutuvurugia siku bana utani mwingine haufai.
 
duh!!!!.............
Nimeishiwa nguvu......this is sad.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom