Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
akiwemo mama yake mzazi regia ambapo hadi sasa hawajaweza kumweleza kuwa mwanae kafariki dunia!majeruhi wengine wamelazwa hospital ya tumbi mkoani pwani
akiwemo mama yake mzazi regia ambapo hadi sasa hawajaweza kumweleza kuwa mwanae kafariki dunia!majeruhi wengine wamelazwa hospital ya tumbi mkoani pwani
mkuu weka maelezo kamili basi!Mbunge viti maalum chadema afariki dunia, kwenye hiyo ajali
source radio one
hakuna aliyeconfirm?
Mbunge viti maalum chadema afariki dunia, kwenye hiyo ajali
source radio one
Aghrrrrrr which is which? Hata kama ni kweli? Zinatumika saa za wapi hapa?! Post hii imewekwa 1250, ikinukuu(?) edition ya Maxence Melo ya 1336... Inazidi kutuchanganya wengine.
Ahsante Angel hilo jina ndo linamfaa