mkuu weka maelezo kamili basi!
wakuu mna uhakika hakuna mkono wa magamba kwenye hili?????????????????
Habari hii imenishitua sana na nimeiona kwa post za Mh. Heche kule facebook...Inauma sana coz I spoke with her majuzi kama sikosei na ilikuwa nionane...Lol...R.I.P Hon Mtema...
Mungu wangu! yawezekana mafisadi wamevuka mipaka wanafatilia hata wapinzani ili wachukue nchi kilaini!
Nimesikia clouds wakithibitisha kutoka kwa RTO pwani.Alikuwa anaovertake roli.R.I.P Regia mtema
Confirmed...ni kweli.hakuna aliyeconfirm?