Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Habari ni ya kweli, so wana jf tumtakie njia bora ya pepo na walio umia awape afya
 
Habari hii imeharibu kabisa siku yangu leo. Inasikitisha sana lakini ndo hivyo tena, mavumbini tulitoka nako tutarudi! RIP dada Regia na Mungu akupe pumziko la amani!
 
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.




Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.

Habari hizi zimethibitishwa.


Death is an inevitable destiny.May God rest her soul in peace.Nitaendelea kumkumbuka hapa jamvini, alikuwa mpambanaji mzuri hata kama alikuwa akishambuliwa zaidi wakati mwingine na members hapa (including me).
 
Dahhhhhhh!!

Mpaka nisikie vyombo vingine! Ngoja tutajua kwa uhakika zaidi!

Kama ni kweli ulimwengu shujaa!
 
Jamni ni kweli Clouds FM wameongea na RPC yupo eneo la tukio
 
Dah!......

Speechless....

Upumzike kwa amani rafiki yangu,dada yangu na kiongozi wetu mpendwa...

Umeondoka katika kipindi ambacho Tanzania inakuhitaji hasa....

Kwa heri rafiki.......Umetangulia nasi tuko njiani...

Pole kwa familia, Pole kwa CHADEMA, Pole kwa vijana wote wa Tanzania, Pole kwa wana Kilombero, Pole kwa watanzania kwa jumla...

Hakika hili ni PIGO kwa watanzania........Bala na JF Tutakukumbuka daima dada yetu Gender Sensitive/Regia Mtema

Raha ya milele umpe ee bwana, na Mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani......Amina.

May god rest her soul in peace ! What a sad day!
 
Hilo ni pigo kubwa sio kwetu tu wana JF bali jamii nzima, Inna Lilah Waina Ilahi Rajeouun
 
Duh habari mbaya sana nani atawakilisha kero zangu mjengoni !.Dada Regia Mungu akupe mapumziko mema.RIP Kamanda Regia.
 
saa ingine unajiuliza mungu anafanyaje maamuzi yake na unashindwa kupata jibu...
angemuacha angalau kidogo
 
Kama ni kweli wana Kilombero,CDM na taifa tumempoteza kijana aliyejitolea kuitumikia nchi yake bila kujali jinsia yake na ulemavu wake wa viungo aliokuwa nao. Alale Mahali Pema Peponi Kamanda Regia Mtema.
 
radio one wametangaza muda sio mrefu...Hapa ndio Mungu aachwe aitwe Mungu..wale ambao watanzania wengi tungependa kuona wanakufa hata hawaugui potelea mbali kufa..
 
Duh!? Inakuwa ngumu kuingia akilini. Machozi yananilenga. Juzi amenipa like mbili! Duh!

RIP dada'angu Regia. Tulipambana pamoja na mapambano tutayaendeleza hadi kieleweke!

Poleni watu wa Kilombero. Mmepoteza jembe! Poleni cdm.

Basi bana, siwezi kusema tena!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom