cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,308
😂😂😂😂😂Ukishupaza shingo itakatika...
Uzuri mnajitafutia visukari na presha wenyewe...
😂😂😂😂😂Ukishupaza shingo itakatika...
Uzuri mnajitafutia visukari na presha wenyewe...
Raha sana kuyasikia mautopolo yana makasiriko na masikitiko.hamna refa hapo ujinga mtupu tuendelee kuangalia ulaya tu mipira, haya ya huku tumuachie karia na genge lake
😂😂😂😂😂Raha sana kuyasikia mautopolo yana makasiriko na masikitiko.
Huku Mashujaa kapigwa, huku CAS wamefanya kweli, huku TPBL wanapanga ratiba ya derby.
Na mkome vyura nyie
Sawa mtacheza au hamchezi dabi?Ligi tunaongoza na tutaongoza hadi ubingwa
Naongea na ZUZU hapa wala sishtuki...Duuuh
Mbumbumbu wa kwanza ni wewe
Raha sana kuyasikia mautopolo yana makasiriko na masikitiko.
Huku Mashujaa kapigwa, huku CAS wamefanya kweli, huku TPBL wanapanga ratiba ya derby.
Na mkome vyura nyie
Kefa Kyombo mwamuzi derby ya kariakoo🤣🤣🤣😂Yanga bingwa
Majinga sana haya.Naongea na ZUZU hapa wala sishtuki...
Anafaa sana hana mbambambaKefa Kyombo mwamuzi derby ya kariakoo🤣🤣🤣😂
Hivi alieanzisha huu uzi alihamia mashujaa kimya kimya au?Naongea na ZUZU hapa wala sishtuki...
Walitegemea Mashujaa awape furahaDhambi nyie, yaan hata kombe la Muungano halijasaidia kuwapa furaha hawa vyura
Hawaeleweki wao kila mpinzani wa simba ni shabiki yao...Hivi alieanzisha huu uzi alihamia mashujaa kimya kimya au?
Ukipoteza muda anakurejeshea😂Anafaa sana hana mbambamba
Anakupa na nyongeza juu...hahahaUkipoteza muda anakurejeshea😂