Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5Penati ya utata ndio penati gani?
Maelezo kama haya ndio yaliyomfelisha na Simon Patrick huko CAS mpaka kaangukia pua.
Naskia mbele ya mahakama Simon Patrick alisema "TFF imeahirisha mechi kwasababu zenye utata"
Ndio maana mwamuzi wa kesi akaona ni ujinga na kuamua kuifuta.
Sasa kupitia malalamiko yako nenda tena kwa Simon Patrick kabla hajapoa mwambie kwa scenario hii hakuna namna mnaweza kuipoka alama Simba mkienda CAS.
Mfate saizi akiwa bado wamoto wamoto.
Nb "Maji yaliyotulia ndio yana vyura wengi"
Huwa unafurahia vile vile Yanga akikufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Hivi vilio vya utopolo ndo tunavyopenda kuviskia, vinaleta burudani maskioni mwetu
Narudiaa tena acha upumbavu umefanya utafiti gani wewe, nimeamini mashabiki wa utopolo wengi huwa hamuangalii mechi za simba bali mnaokoteza tu story za mitandaoni na vijiweni, haya nimekuwekea picha za marefa waliochezesha mechi za simba vs mashujaa na simba vs coastal union.. na wewe weka picha za marefa waliochezesha hizo mechi nyingine unazosema simba walipewa penati zisizo halali ili tuthibitishe kama refa ni yule yule au la!!Una tatizo kichwani
Kila ninachokiandika hapa jua nimefanya utafiti wa kutosha
Ndo maana wewe umeamua kuwa shabiki yangu na kufatilia maandiko yangu mara Kwa mara
Malalamiko yenu yatabaki kuwa yakijinga na yatapuuzwa kama ilivyozoeleka no wonder kila siku mnapigwa hela na Simon Patrick.Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Nendeni CAS mkafanye come backNdo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawap
Huwa unafurahia vile vile Yanga akikufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Madrid anayeongoza kwa makombe mengi kafungwa mechi nne mfululizo na Barcelona msimu huu kutia ndani kipigo cha 5-2 sasa sijui mnataka kusemaje, haya tuseme Simba ni mbovu kwahiyo mnakubali kwamba hatua ambayo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa na kikosi kibovu, maana msimu huu simba na kikosi chake kibovu imefika fainali cafcc ambako yanga walifika wakiwa na kikosi bora tena wakiwa na striker kama mayele ila wakashindwa kubeba lile kombe.. haya msimu uliopita simba ikiwa na kikosi chake kibovu iliishia robo fainali cafcl sawa na yanga tu ambao walijisifu wana kikosi bora!!Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Kesi CAS wewe kilaza huwezi kuelewa mantiki yakeMalalamiko yenu yatabaki kuwa yakijinga na yatapuuzwa kama ilivyozoeleka no wonder kila siku mnapigwa hela na Simon Patrick.
Mna mtu mwenye elimu ya uhandisi yupo kwenye department ya mpira muda mrefu lakini eti mimi Scars nilikuwa najua kuwa haiwezekani kwenda CAS bila kuanzia TFF ila huyo injinia na mawakili wake hawakulijua hili.
Mbali zaidi na mashabiki wengi ukiwemo wewe mkaaminishwa kuwa mtaenda kupewa point 3 za kiujeje.
Kwa hiyo kama nilikuwa sahihi wakati ule na uongozi wako ulijipotosha basi niamini na muda huu hata kwenye hili kuwa zile ni goli halali.
1. Madrid ni mbovu ndo maana amefungwa na BarcelonaMadrid anayeongoza kwa makombe mengi kafungwa mechi nne mfululizo na Barcelona msimu huu kutia ndani kipigo cha 5-2 sasa sijui mnataka kusemaje, haya tuseme Simba ni mbovu kwahiyo mnakubali kwamba hatua ambayo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa na kikosi kibovu, maana msimu huu simba na kikosi chake kibovu imefika fainali cafcc ambako yanga walifika wakiwa na kikosi bora tena wakiwa na striker kama mayele ila wakashindwa kubeba lile kombe.. haya msimu uliopita simba ikiwa na kikosi chake kibovu iliishia robo fainali cafcl sawa na yanga tu ambao walijisifu wana kikosi bora!!
Hivi mna habari kwamba mwanasheria wenu kajiuzulu sababu ya hayo maamuzi ya cas, hebu acheni kuwafanya watu wajinga kwa akili gani mlizotumia wanayanga kwenye hilo shauri, ninyi subirini derby ipangiwe tarehe mpya hakuna points za bure kwani mnachoogopa ni niniKesi CAS wewe kilaza huwezi kuelewa mantiki yake
Wewe mbumbumbu huna cha kumshauri Rais Eng Hersi Said
Hii kesi Bado mbichi
Kwa uhuni wa TFF na Karia waliopuuza kusikiliza malalamiko na kuwabebe Simba waliokimbia mechi, wakiwa na lengo la kupoteza siku ili zifike siku 21 na Yanga akose sifa ya kupeleka shauri Yao CAS, Yanga wanapeleka shitaka CAS kwanza kuzuia bodi ya ligi isipange tarehe mpya ya mchezo na pili itoe maelekezo TFF isikilize shauri na iamue vyovyote na ndo Yanga aende CAS rasmi kuwawashia moto
Hapa ndo mbumbumbu hamwezi kuelewa akili kubwa hiiView attachment 3323023
Kweli nimeamini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.Kesi CAS wewe kilaza huwezi kuelewa mantiki yake
Wewe mbumbumbu huna cha kumshauri Rais Eng Hersi Said
Hii kesi Bado mbichi
Kwa uhuni wa TFF na Karia waliopuuza kusikiliza malalamiko na kuwabebe Simba waliokimbia mechi, wakiwa na lengo la kupoteza siku ili zifike siku 21 na Yanga akose sifa ya kupeleka shauri Yao CAS, Yanga wanapeleka shitaka CAS kwanza kuzuia bodi ya ligi isipange tarehe mpya ya mchezo na pili itoe maelekezo TFF isikilize shauri na iamue vyovyote na ndo Yanga aende CAS rasmi kuwawashia moto
Hapa ndo mbumbumbu hamwezi kuelewa akili kubwa hiiView attachment 3323023
Bado hujajenga hojaNdo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Akili zako ni finyu huwezi kuelewa huu mtegoHivi mna habari kwamba mwanasheria wenu kajiuzulu sababu ya hayo maamuzi ya cas, hebu acheni kuwafanya watu wajinga kwa akili gani mlizotumia wanayanga kwenye hilo shauri, ninyi subirini derby ipangiwe tarehe mpya hakuna points za bure kwani mnachoogopa ni nini
Acha upumbavu wewe yule refa aliyechezesha mechi ya simba na coastal siyo huyu, kama umeweza kudanganya kwenye hilo la kwanza basi pengine hata hayo mengine umedanganya, lete ushahidi kwamba refa huyu ndiye aliyechezesha hizo mechi zote ambazo simba walipata penati.. halafu shida siyo penati shida ni je hizo penati ni halali au si halali hivi huwa mnaangalia mpira kweli au kwa vile wanapewa simba basi ndio zinakuwa siyo halali!!
Sasa utasemaje madrid ni mbovu wakati inaongoza kwa makombe ya uefa na la liga na ndio inajiita club above all, kwahiyo kwa kusema hayo unapingana na ile kauli yenu kwamba yanga ni bora kuliko simba kwa kigezo kwamba ina makombe mengi ya ligi kuliko simba, unasema yanga haitokaa icheze mashindano ya shirikisho wakati kila siku mnatupigia kelele na medali zenu na kusema mshacheza fainali za caf mkiwa na kikosi bora haya simba imefika huko ikiwa na kikosi kibovu hapo mna lipi la kusema1. Madrid ni mbovu ndo maana amefungwa na Barcelona
2 Yanga hii haitokaa icheze mashindano ya shirikisho kwaiyo usijaribu kuongelea shirikisho yaani UMISETA na huku ukihusisha Yanga ambayo hana sifa za kucheza shirikisho
Mambo ya shirikisho hebu ongeeni na Coast union, Namungo na Biashara united
Akili zako finyu huwezi kuelewa hoja ngumu hiziKweli nimeamini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.
Kwa undezi huu LBL haikukupitia wewe?